SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ' VJ Penny ' kupatana na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu , mwigizaji Kajala Masanja ' Kay' naye ameibuka na kuweka bayana kuwa...
Kupitia ukurasa wa Facebook wa Presenter Loveness Love - Diva amesema East Coast Team wako Studio kwa Marco Chali wakiandaa Wimbo Mpyaaa
====AY pia ====
Comedian Amooti Faces Arrest After He Smooches Kimansulo Dancer In Club
Radio presenter and Comedian risks the ruth of Fr. Lokodo after images leaked of the funny man doing Porn things with a...
IRENE KIWIA ALIVYOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MKUTANO MKUU WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA
Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of...
Ni kolabo la mafundi wawili wa muziki Tanzania Mwana Fa na Alli kiba katika hii nyimbo inayoitwa kiboko yangu.Hakika Ng'ombe hazeeki maini na kwa mbali naona heshima ya bongo flavour inarudi kwa...
ABDALLAH GAMA MPIGA RYTHM MWENYE HISTORIA NDEFU
SINA-shaka wale mashabiki wa DDC Mlimani Park Orchestra Sikinde Ngoma ya Ukae ambao ni vijana wa zamani, watakuwa wanakumbuka mbali kila pale...
Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi...
Mimi ni mfuatiliaji wa hii channel ya vijana lakini naona saizi wanatuwekea bongo movies tu kila siku ni bora wange iacha itwe chanel 5 kuliko EATV na wakati hao wakenya na waganda hawana hata...
STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ' Johari' amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la...
Ikiwa tunaelekea kuufunga mwaka, sisi kama member wa jamiiforums tunachagua celebrity aliyefanya vizuri kwa mwaka mzima na tutamkabidhi tunzo maalum.
Sasa naomba tupendekeze ni nani anafaa kupewa...
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu , Hamisa Hassan Mabeto amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana.
Akipiga stori na paparazi wetu, Mabeto alisema bado...
Kala Jeremiah: Dear God ilinipa Dili La Kwanza Kimuziki nikadhulumiwa ,Nilionja Matunda Ya Muziki Kupitia wimbo huo
Ilimchukua Miaka Nane Kala Jeremiah kuanza kuonja Matunda Ya muziki licha ya...
Yule Mtanganyika na Mbongofleva aliyeenda na Cocaine Airport huku akiweka kwenye mfuko wa shati ,ameandika huko tweeter kwamba tumuombee ili mungu amsimamie atoke salama. Leo kesi yake ndo...
HAIJAKAA sawasawa! Siku chache baada ya Sitti Abbas Mtemvu ( 25) kujivua taji la Miss Tanzania 2014 kwa madai ya kusakamwa na vyombo vya habari kuhusu umri wake, wadau wamemwangushia uwajibikaji...
Wimbi la wasanii wetu ku-shoot video nje ya nchi (S.A) linaongezeka kwa kasi sana toka Diamond afungue njia na wimbo wa Number 1
Ndani ya mwezi mmoja nimeshuhudia video zaidi ya kumi kwenye...
Sheta ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na hit makers wa bongo kwenye nyimbo zake amezungumzia uwezekano wa collabo na Ali Kiba Kwenye exclusive interview.
Swali> Sheta Una mpango...
Teaser ya wimbo wa msanii kinara katika muziki wa Bongo "Dimond platnumz" imevunja rekodi ya kupakuliwa katika mitandao mara nyingi zaidi, kipande hicho ni cha sekunde 21 kinachoonyesha kuwa hiyo...
Nimekuwa nikifuatilia Weusi kwa muda sasa na nimekuwa impressed nao sio kwa kazi zao hata character zao as individuals hasa joh makin na g nako. Ila am not impressed for the case of Niki, amekuwa...
Yamoto band ikiongozwa na Mkubwa fela wakijulikana kama mkubwa na wanae wakiwa na nyimbo kali zilizotamba na zinazoendelea kutesa kama Nitajuta
,mapenzi ya moto, niseme na INOOH.
Sasa wametoa...
Taarifa ambayo imezagaa kila kona ni ya kupatana kati ya Wema na Penny.
Wasameana na kuondoa tofauti jana katika dinner ya birthday ya Junaitha,Junaitha ndiye aliyefanya harakat zote za kupatana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.