Mke wa Gardner G Habash, Judith Wambura Mbibo, ‘Lady Jaydee' akipozi.
Prizenta aliyetua Radio E-FM hivi karibuni akitokea Radio Times FM, Gardner G Habash ‘Kapteini' anadaiwa...
Ni swali ambalo Waandishi wengi waliwahi kutamani kupata time ya kumuuliza ambapo kwa bahati nzuri kaulizwa kwenye kipindi cha maswali na majibu na akatoa jibu akiwa na tabasamu zito kabisa...
UNAFIKI 100 % ! Wakati kila mtu akiamini kwamba staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ni shosti wa Kajala Masanja ' Kay' , ameibua mshangao baada ya kunaswa akikumbatiana na...
Naomba Profile ya Private na Public ya huyu jamaa
Vitu kama vile alizaliwa wapi mwaka gani
kasoma shule gani(Not interested in Primary)
University (undergrad kasoma wapi?)
alisomea...
Sorry wanajukwaa niko Namtumbo ndanindani huku sielewi mambo yanayotokea mjini, niliambiwa na rafiki yangu ambaye yuko daslam kwamba tar 8 Nov (jana) msanii wetu maarufu aliyeimba kitorondo...
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ' Dida' amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga ...
SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ' shopping ' Mlimani City ambapo watu walikuwa wakiwakodolea macho kwa jinsi...
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Msami alizunguka sana...
Hakika hii ni habari mbaya kwa nchi yetu maana yule celebrity class A ambaye ni role model wa watoto wa kike hapa Bongo ameamua kuchukua uraia wa south africa
Ama kwa hakika this is very sad...
IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed Shilole , na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani. Ishu...
Ukianza kufuatilia nyimbo zake utagindua huyu mama alijua wazi kwamba hawezi kuishi na captain. Angalia kwa mfano wimbo wake ule 'nani wa kunifuta machozi umeondoka umeenda mbali' kaeleza haya...
Is this how to carry on a holiday romance footballer style? Soccer ace Neymar, 22, sends private jet to collect Serbian model to bring her to Barcelona after pair met in Ibiza
Champions League...
Wiki iliyo pita niliweka uzi huu: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/746830-sitti-mtemvu-afanye-kama-tupac-2.html
Leo nakutana na habari hii, hapa chini. Amefuata ushauri...
Mambo ya Urithi! Moja ya nyumba mbili zilizoachwa na marehemu Muhidin Maalim ‘Gurumo' iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, ambayo ndiyo anayoishi mkewe Pili Saidi, ipo sokoni baada ya...
Rapper Gosby ametoa wimbo - Wema Sepetu, amechana sana huko ndani, naomba kama kuna mtu anayo hiyo ngoma atuwekee ili tuweze kuisikiliza vizuri, mimi nimeisikia redioni leo mchana... Diamond...
Mzee wa upako amefunguliwa jarada JMD/RB/11099/2014 kituo cha Polisi Mbezi .
Anatuhumiwa Kutishia kumuua kwa Risasi Kijana Robert mkaanga chips Usiku wa Kuamkia jana. Ambapo Mzee wa upako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.