The new gist in town is that Limpopo master, Kcee just got himself a customised 2014 Cadilac Escalade. That's not all, the most stunning about it is that, it is gold plated...glittering! That's...
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa fedha kiasi gani kwani...
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo...
Kwa kuwa ni wazi kuwa Dada Sitti Mtemvu atavuliwa taji kwa kudanganya umri na kuongoe kifaransa ili kukwepa maswali napendekeza Taji apewe yule mshindi wa tatu.
Nadhani yule ana sifa zote za...
Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa msanii wa Bongo movie ameaga dunia.Ila bado habari hizi hazijawa na uhakika.
RIP mzee wetu.
============ Updates ==========
Habari zilizotufukia...
BAADA ya hivi karibuni kumchana laivu Mkurugenzi wa Mwami Foundation, raia wa Kongo, Mwami Rajabu, staa wa Bongo Movies , Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kumwangukia jamaa huyo na kumuomba...
WanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na...
WAKATI nyota wa muziki wa Hip Hop , Rashid Makwiro ' Chid Benz ' akikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa na madawa ya kulevya akiwa njiani kuelekea Mbeya, Rehema...
Huyu Ndugu nnimemsikia kwenye tangazo la E fm muda si mrefu, inaelekea ndio kashamaliza mkataba wake na times fm. Sijamsikia muda sasa kwenye Maskani.
Habari ndio hiyo wadau wa Maskani!
Baada ya kuanzisha mashindano ya mbio kati ya farasi(Dimond) na kobe(kiba) na kutaka kuiaminisha dunia kuwa kobe ana mbio kushinda farasi, hatimaye ile miradi iliyotangazwa kwa nderemo na vifijo...
Hii ni kutoka kwa kamati ya miss Tanzania kwamba kuepusha utata wa umri na udanganyifu kamati imeamua kuanzia sasa warembo wote wanaotaka kugombea taji hilo maarufu waonyeshe pia na kadi zao za...
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina' amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake.
Akizungumza na mwandishi...
Sikupata fursa ya kutazama shindano la Miss Tanzania.Hivyo kwangu hii ni habari nyingine ambayo sikuwa nikiifahamu kuhusiana na mlimbwende wetu Miss Tanzania Sitti A.Mtemvu.Pengine wapo baadhi...
Wakuu.
Kuna vitu nimekaa na kuvifikiria kuhusu hili sakata la umri wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu.,Hebu tujiulize, mamiss Tanzania waliopita ambao walikuwa watoto( wadogo kiumri) waliifanyia nini...
Nimekusifu diamond kwa kukaa kimya,tukio la fiesta watu walijua utapagawa na kuongea hovyo na media.naamini sasa wamechokoza moto.
Diamond fungua macho maadui zako ni wengi na si Kiba...
kwani miss Tanganyika si ni yule bibi bomba,sasa mbona Jana kahojiwa mwingine na amesema a naenda,Miss world?
kwani Sitti wamempora chance?
sikuangalia sana kipindi kwani lugha aliyokua...
Habari ambazo zinasambaa hasa kwa whatsapp ni kwamba Sitti Mtemvu,miss Tanzania (bibi bomba) anamzidi mdogo wake miezi 7.Hii imesemwa na marafiki wa mdogo wake na miss Lundenga.
Taarifa zaidi...
(Zimeambatanishwa)
Mie ni mmoja wa wale wa Tanzania tuliokua tukipenda mashindano ya Miss World. Na nchi yetu ilipoanza kupeperushwa huko duniani tena katika mashindano haya tulifurahia sana...
Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.