Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Chanzo: Facebook
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida yenu vijana wa TZ kuwachukia wenzenu wanapopata mafanikio. Ninayo mifano ya Mr Nice, Daz B n.k ambao mliwavunja nguvu na kuwakatisha tamaa hadi kupelekea frustratration...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna msanii anaitwa IMAAM ABAS mbona kimya saana
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Katika kile kinachoonyesha kwa wasanii wa bongo kuanza kujitambua na kutumia brand zao vizuri katika kujipatia kipato, Msanii kinara katika muziki wa Tanzania ambaye haishi kutajwa katika vinywa...
10 Reactions
125 Replies
22K Views
Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Mi naamini hakuna ubaya kumsifia Diomond kwa jitihada alizozifanya mpaka kufika alipo sasa na anazoendelea kuzifanya kuendelea kusonga mbele. Pia kwa m2 yeyote asiye na chuki binafsi na dogo hata...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Madansa wa mwanamuziki Diamond Platinumz (Nassib Abdul) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa kosa la kuvaa mavazi yanayofanana na yale ya JWTZ wakati wa onyesho/tamasha la Fiesta...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
team diamond ya kweli haya ?
0 Reactions
145 Replies
30K Views
Mwaka 2010 CCM walimtumia msanii MALLOW mzee wa bembeleza aliyekuwa hot kwa wakati huo kwenye kampeni za uchaguzi,baada ya uchaguzi jamaa kapotea kabisa kwenye game kwa sababu watz 70% chama hiki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa vyanzo tofauti vya habari ni kuwa nyota wa kikapu ndani ya NBA mTanzania ametemwa na timu yake mpya Detroit Pistons kutoka jimboni Michigan aliyojiunga nayo siku kadhaa zilizopita...
1 Reactions
199 Replies
23K Views
Ningekuwa Sitti Mtemvu ningefanya kama alivyo fanya Tupac Shakur mwaka 1996. Baada ya kuhofia usalama wa maisha yake Tupac Shakur aliamua kufuata ushauri wa Niccolo...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Ebwana namsikiliza Zembwela hapa kwenye supamix ndio amesema. YP ni msanii wa wanaume TMK aliyeimba kwenye Dar mpaka Moro akishirikiana na Temba na Chege au kwenye wimbo wa twenzetu akiwa na...
0 Reactions
187 Replies
57K Views
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) wamesema endapo mrembo wa Taifa mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu, atabainika kudanganya umri wake kwa kughushi vyeti vya kuzaliwa...
2 Reactions
45 Replies
10K Views
Kilele cha fiesta siku ya jana tarehe 18 octoba 2014 Tanzania na dunia nzima kwa ujumla imeshuhudia msanii Ally Kiba akioyesha kuwa uchawi hauna nafasi kabisa kwenye muziki baada ya kumkalisha...
7 Reactions
207 Replies
63K Views
Yule msanii anayesemekana kuwa ni bilionea kuliko msanii mwingine yeyote Tanzania ambaye pia ameanza kujenga hekalu lake huku likiwa halijakamilika kwa mvua tatu sasa (miaka mitatu), ambaye pia...
3 Reactions
104 Replies
19K Views
baada ya kutusaidia kupunguza kelele za mwanajeshi wa sinza kwa kushinda EMA best african act sasa tuwasaidie pia washinde best worldwide act..vote for these talented dudes...sura yako muzuuuri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ameandika kupitia ukuta wake wa Instagram. Ni Tanzania pekee Miss Tanzania anaulizwa kuhusu taarifa tofauti kwenye Passport, Leseni ya Udereva na Cheti cha Kuzaliwa anajibu kwamba hilo ni...
8 Reactions
84 Replies
13K Views
Ally Kiba akihojiwa na Amplifire ya Mirlad Ayo ameulizwa maoni yake ni wasanii gani walimvutia kwenye show ya Fiesta amewataja wanamuziki kadhaa pamoja na Diamond. My take: hapa ndio tofauti ya...
9 Reactions
183 Replies
28K Views
hii imetokea university of florida ambapo wanafunzi wa kiswahili wakizungu walionekana kumhusudu diamond hadi kufikia kutengeneza movie ya kumbembeleza akapige show hapo!!!!! jamaa ni super staa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika vitu ambavyo ni muhimu kwenye modaling ni urefu. Mwanamke huwezi kuhesabiwa kama we ni mrembo anaekidhi vigezo kama hutokuwa na height iliyosawa. Msanii Lulu Michael ni moja kati ya wasanii...
2 Reactions
67 Replies
20K Views
Back
Top Bottom