Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida NDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na...
0 Reactions
68 Replies
12K Views
kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
HIZI NI SENTENSI 4 ALIZOZISEMA MENEJA WA DIAMOND KUHUSU DIAMOND KUZOMEWA KWENYE FIESTA.. 1.sisi tumechukulia sehemu ya mashindano,uzuri sisi tuliambiwa na uongozi wa Clouds kabla ya Diamond...
10 Reactions
76 Replies
14K Views
Facebook : Missworld Twitter : missWorldLtd Complains : Contact
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi ' H. Mama' na mwanamuziki Hamis Ramadhan ' H. Baba ' wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa Akizungumzia mjengo huo walioupanga...
1 Reactions
91 Replies
22K Views
Kupitia akaunt yake ya instagram jaydee ameelezea alivyochukilia mwaliko wake wa kuwa mgeni rasmi katika sekondari ya unyanyembe inayomilikiwa na jeshi kuwa ni zaid ya heshima kwake. Ni kwamba...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Okay, Kuna watu wanataka ku-prove kuhusu hizo taarifa za umri wa Miss wetu fuata hizi steps, ni simple ingia https://i94.cbp.dhs.gov/, then chini chagua I agree, bofya proceed halafu ikifunguka...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Vyeti vya Miss Tanzania 2014 vyaanza kuchunguzwa na RITA, ikibidi Polisi kuhusishwa WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), imeanza uchunguzi wa vyeti vya Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay', mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha...
0 Reactions
70 Replies
12K Views
Mimi naamini kuwa kuna wakati Watanzania tunatatizo la kutenganisha ushabiki wa kisiasa na ushabiki katika vitu vingine. Pamoja na kuwa kuimba ni kipaji lakini ni zawadi toka kwa Mungu, na ndio...
3 Reactions
62 Replies
10K Views
Dear Ali Kiba 4real kuwa makini na hawa watu wanaofurahia kuzomewa kwa Diamond.Hawa watu wanaomchukia Diamond leo ni hawa hawa watakuchukia siku ukifika level za Diamond.Kwa zawadi ya sauti ya...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Miss Tanzania naona umesahau kuwa wewe ni mwakilishi wa taifa la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, Hivyo uwakilishi wako siyo kuwa unawakilisha jina lako kama Sitti Mtemvu bali unawakilisha taifa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Nasikiliza kipindi cha Afrika Ngoma kutoka Radio 5 FM nikaweza kurekodi sehemu ya interview kati ya mtangazaji wa kituo hicho na Meja wa JWTZ, Meja Joseph Massawe. Kinacho onekana ni kuwa Naseeb...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kiukweli kilichotokea fiesta ni aibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema Diamond hana jipya,hili linaukweli ndani yake? Kitoronto kimetawala kila kona.Sasa kati ya Kiba na Diamond ni nani hana...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba niweke wazi kwanza kwamba mm si shabiki wake hata nusu. Lakini ni miongoni wa watu wanaotumia muda mwingi ktk social media ambako siku hizi hata TV na redios hazioni ndani kwa social media...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Raisi Obama amejikuta katika masihara au wakati mgumu pale alipoambiwa na kijana mwenye wivu na mwenye nacho asimguse rafiki yake wa kike. Hili limetokea katika kituo cha kupigia kura kule...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Oscar kusekwa jela miaka mitano, na miaka mitatu ya kifungo cha nje, Je kwanini Lulu wa bongo movies , wasiwekwe jela miaka mia nane?? koz tunapoelekea anaenda kumpiga tena JB wa bongo movies...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo no kithungu
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom