Nimefuatilia kwa karibu tamasha la fiesta jana kuna jambo kubwa nimejifunza na sii vibaya nikamshauri huyu bwana mdogo Diamond kuwa marafiki wanakuwa karibu pindi mziki wako unapokuwa juu, wakijua...
It's time for T.I to dust off his acting skills. For those of you who don't know, T.I will star in Marvel Studios' new super hero movie, "Ant-Man"!
Although the rapper cannot disclose which...
Ni ukweli kuwa Ally alikuwa juu sana kuanzia 2007-2010....baada ya Dimond kuja na kuteka soko la Muziki huku akiwazima watu kama taa ally kiba alipotea kwa kasi ya kimbunga kabla ya kuanza kupanda...
huyo Stan ndiye anayepigiana simu na Mkude Simba yeye akiwa mjini na sauti zao zinafanana sana hawa jamaa!
kuna jamaa wanadai ndiye mwenyewe, kuna ukweli wowote?
SiKU chache baada pedeshee Mkongo , Mwami Rajabu kutangaza kuwa anamtaka staa wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ' Lulu' kwa gharama yoyote, mwigizaji huyo ametoa jibu linaloonesha dhahiri...
Jana nilijihakikishia jinsi gani Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje??
kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na...
Ni baada ya kupata komenti nyingi kwenye kurasa yake ya Instagram za kuitusi Africa na kumuomba asirudi na Ebola nchini kwao...
T.I pia kawapiga mkwara wote wanaongelea Ebola kuwa atawafuta...
STAA wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ' Lulu' amesema kwa mtazamo wake anaona Bongo Movies imebuma hivyo ameamua kukomaa na shule ili awe na kitu kingine tofauti na sanaa...
Ni kweli kabisa wolper, kila mtu anafanya uchafu pengine hata kushinda wa kwako, na uko sahihi kusema kila mtu ana Uhuru wa kufanya anavyotaka ila kumbuka wewe ni super staa aka kioo cha jamii...
Literally and figuratively, Shaquille O'Neal is larger than life.
The 7-foot-1 future Hall of Famer, who retired after the 2011 NBA season, has managed to maintain and convert his high profile...
Sioni sababu ya kuendelea na huu mjadala kuhus mambo ya familia ya Mengi, mbona hatujadili familia za JK, Lowassa,Rostamu, Magufuli (ambaye mkewe kazaa na Warioba) ... nadhani hakuna zaidi ya...
Wengi wanasema Chris Bella ndie undisputed king of vocalist in Tanzania...sawa Bella yuko vizuri ila hivi kweli anamfikia Mao Santiago...wazee wenzangu yu wapi Mao Santiago...huyu mkali...
Yule dada aliyehama chama chake cha awali na kwenda chama kingine Maarufu kama Juliana Shonza ameolewa na kufunga ndoa na bwana David...
Hongera zakee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.