Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Nimemtazama Jokate a.k.a kidoti leo kwenye mashindano ya Miss TZ 2014 na anaonekana kufungasha mzigo wa kutosha(shundu) 12th October 2014 10:25 1413098737781.jpg
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mimi sio mbaguzi au mkabila ila kwa interest tu kwa kuwa nazimia kazi zao ma star hawa naomba nijue wana asili ya wapi hapa Tanzania yaani kabila zao.
0 Reactions
22 Replies
18K Views
1. Lady Jay Dee Ni wachache sana watapinga kuwa Jide hastahili kuwa mwanamuziki bora zaidi wa Bongo Fleva., moja ya silaha zake kubwa ni Consistncy aliyoonyesha tokea ameanza shughuli za muziki...
3 Reactions
11 Replies
14K Views
Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, King Majuto amesema hivi kariburi alimshawishi Wema Sepetu azungumze na mpenzi wake Diamond Platnumz ili wafanye kazi ya pamoja. Mzee Majuto ambaye...
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Msanii wa bongofleva Baba Levo amepata ajali: Ni saa tisa kasoro mchana Msanii wa bongofleva Baba Levo anaipiga simu millardayo.com na kuongea kwa tabu kwenye usikivu ulio mdogo na kusema kwamba...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Menina Atik a.k.a Menina la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika baaada ya...
1 Reactions
55 Replies
12K Views
Nilibahatika kuusikia wimbo wa Joseline redioni jana. Japo ulikua unaishia ishia. Bila shaka ni wimbo mpya. Jamaa hakika anajua na amerudi kikweli kweli, ni bonge la pini la RnB. Bahati mbaya...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Chezea Ruge na Kusaga wewe. Fiesta wasanii wote wa Bongoflavour wanalipwa- laki tano Tano, Hata uwe na Tuzo- Mia, Hit songs milioni. Clouds hawakulipi- zaidi ya Laki Tano..Kuan zia Diamond...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
  • Closed
Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno...
3 Reactions
386 Replies
45K Views
Nipo Iringa ukumbi wa Club VIP, kuna show ya huyu kijana Rich mavoko, imenivutia sana, licha ya watu kutokuwa wengi sana ( huenda kutokana na kutofanya matangazo ya kutosha au kiingilio kuwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika tuzo za IRAWMA zilizokuwa zikifanyika nchini Marekani msanii "Diamond" amewapiga za uso wasanii Davido na Awilo na kuchukua tuzo ambayo walikuwa wamewekwa kwenye category moja. My...
3 Reactions
64 Replies
10K Views
"Why Google Removed Linda Ikeji's Blog Spot Website" – Google.com Manager For West Africa Oct 9, 2014 – "Why Google.com Took Down, Deleted Linda Ikeji's Blogger Website" &#8211...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Recent reports from MTO suggest that ex couples, Wiz Khalifa and Amber Rose may be on the path to reconciliation after all. It is alleged that they plan to meet this weekend to sort things out...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
O.J. Simpson has allegedly contracted HIV from his transsexual lover in prison! The 67-year-old football legend serving a 33 year sentence for a number of felonies including kidnapping and armed...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
HUU HAPA UTHIBITISHO. Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza, Hapa Alikiba, anamwambia Diamond, nyumbani ( SHAROBARO RECORDS) kuna kila kitu, beats kali, management nzuri and all that, kitu...
6 Reactions
33 Replies
8K Views
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasanii wa bongo wanachelewa sana kujitambua ni kichefuchefu kiufupi hawa jamaa majina yanafifia kiukweli ila naamini kipaji bado kipo maana wamezaliwa nacho. Ndo maana mpaka kesho sishangai...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Hawa ni baadhi ya wasanii ambao kwa mtazamo wangu wana bahati mbaya kwa kuvuma kipindi ambacho anavuma Diamond,i mean isingekuwa uwepo wake kwenye game kwa wakati huu wangepata attention/tuzo...
3 Reactions
60 Replies
11K Views
“Tulimkabidhi Diamond cheque ya fedha nyingi za mirahaba na baada ya kumuonesha michakato yetu, alikuwa tayari kusaini nasi,” alisema CEO wa MCSK, Maurice Okoth. “Kwa sasa Diamond ndiye msanii wa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Diamond Platnumz amekua noinated kwenye tuzo kubwa kabisa nchini Nigeria zinazojulikana kama The Headies Awards . Diamond yupo kwenye category ya Best African Artist ambayo inajumuisha wasanii...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom