Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Vijana wa bongo flava, Gosby na Godzilla wamekuja na kibao kipya "Blame on Me" Kibao kimekuwa produced na Mswidish Fundi Samweli, na kimerekodiwa kwenye studio za Fundi, Maeneo ya Kibaha...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Channel ya E! ,muda huu wanatangaza kuwa muimbaji Jordin Sparks na Jason Derulo wameachana rasmi. Walikuwa kwenye uhusiano toka 2012.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
  • Closed
1.Mimi nashindwa kuwaelewa kabisa, Hivi ni kweli nyie ni mambo safi? Yaani hela mnazo za kutosha au wanawazushia? 2.Hivi ni kweli zile picha za uchi ninazo ziona kwenye mitandao ya kijamii na...
13 Reactions
196 Replies
24K Views
Walahi namwonea wivu dada yangu wema kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mtvbase has just announced Diamond platnumz as the artist of the month October with effect from today.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza. Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa, vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na...
6 Reactions
380 Replies
54K Views
Wadau. Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga. Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato...
0 Reactions
68 Replies
26K Views
Kiukweli UKWELI siku zote unauma tena sana,lakini mimi nasema hivi, akupendae kwa dhati hukueleza ukweli juz ijuzi hapa watu walimfungia Diamond kibwebwe na matusi kibao kisa kumpa za uso wema...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Nani kaimba huu wimbo? jina la wimbo linaitwaje? nimeusikia mara moja tu kwenye redio...hebu nisaidieni verse niliyoshika Unajua Watoto wa MJINI MAPENZI Kwao ni Utani Leo Unamtekenya Kesho...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikua amshirikishe Jide lakini Jide akakataa kisa Machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku Machozi akampa shavu maunda Zorro. Je, wajua kuwa jina...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim, aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Taarifa kutoka mkoani Lindi zinasema Side Boy amekufa leo Septemba 29...
0 Reactions
75 Replies
23K Views
Wana jamvi sasa ni mwaka wa nne hajaonekana mtangazaji mahiri wa Star TV kutoka Arusha. Mtangazaji huyu alikuwa ni mahiri katika kipindi cha medani za siasa na hasa wakati wa uchaguzi alikuwa...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Gorgeous bride Jackie walking down the Isle All smiles & waiting anxiously! Guess they were nervous too I do & will love him till death do us part I do & will love her...
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Ninatatizwa kwakuwa sielewi Vigezo vya Msanii Kuteuliwa kuwa Msanii bora nchini Tanzania. Kwa maoni yangu yule dada wa kundi la Futuhi anayeigiza Kama bibi kizee kwakweli anastahili kufikishiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtandao wa kimbea na habari za mastar wa marekan na ulaya (hasa wa hip hop) wa TMZ umeendelea kumnanga kijana chris brown na kuchokonoa kila anachokifanya in a very negative way ilimradi tu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wawili hao wana mtoto wa kike. Faiza amethibitisha kuachana na Sugu kwenye Instagram kwa kushare pia ya pamoja. “Mtoto wangu wa Faiza na Joseph ana fikisha miaka 2 kesho , nimeangalia kumbu kumbu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Why kila demu akiwa maarufu Anapiga kitaulo(kujichubua ambao wao wanasema kung'arisha ngozi) katika ambao sikutegemea kuwa anaeza fanya ni huyu kidot, japo nimesikia profile yake upstairs ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom