Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Licha ya Kumpa Hongera kwa nafasi yake hii ya kisiasa nina haya yafuatayo Inahitaji Ujasiri sana kujiunga na siasa kwa nchi hii hivyo naamini SALIM ameguswa sana na yuko tayari kwa lolote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msanii wa bongo flevaSaidi Mustafa maarufu kama Side Boy "Mnyamwezi" amefarik mchana wa leo akiwa hospital ya St Walburg "Nyangao-Lindi" msanii huyo ameimba nyimbo kama Hujafa Hujaumbika...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Sisi tunawaza kuwashirikisha wao kwenye nyimbo zetu, ila wao hawafikirii hlo kabsa.. Wao wanafanya album na zinauzika kwa bei nzuri za kuwanufaisha sana kulingana na misingi ya hakimiliki nchini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi haka kajamaa ni ka mbilikimo au...? Manake naona kama lower body yake imekaa kidizaini flani hivi....au ni macho yangu tu? Halafu nimeona kamevaa Jordans ambao hata sijazitambua. Huenda...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimeona nisiongeze chumvi screenshoot hiyo hapo. Nb: Mods ingawa wahusika ni celebs ila topic ni ya mmu, msihamishe tafadhari.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ama kweli duniani kuna watu wazuri wa kubisha au kusemea jambo wasilokuwa na uhakika nalo sijui wamezoea sijui kutaka sifa sijui waonekane nao wajuzi wa mambo ya mujini wanajua wao. WARUMI kama...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
baada ya diamond kutuvalia sketi na pedo ya wema mara kadhaa nae bob junior kavaa kipedo kwenye wimbo wake mpya.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
1. Lady Jaydee Uyu dada ndio msanii mwenye washabiki kuliko wasanii wote Bongo, ni mwanamuziki anayeheshimika na wasanii wenzake karibu wote na wadau mbalimbali wa muziki na sekta zingine...
10 Reactions
130 Replies
17K Views
Madai mazito ya kushtua mtaani yanasema kwamba staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ' Lulu' , mambo yake kwa sasa yapo juu ya mstari baada ya bilionea kutoka jijini Arusha ( jina...
3 Reactions
170 Replies
32K Views
Kwa mujibu wa utafiti wetu wa miezi miwili tumegundua awa ndio vijana wenye nguvu na wanaokubalika zaidi hapa Tanzania kwa sasa. Utafiti huu umeshirikisha members wenzetu mbalimbali. Tulizingatia...
2 Reactions
48 Replies
11K Views
Wana Jf mnalikumbuka kundi lililoimba wimbo wa USA AFRICA?
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Leo Namzungumzia sio mwingine bali Ni Super producer Adam Juma. Jamani tuwe- na desturi- ya kusifia- vizuri tena vya Nyumbani- na sio umbea- tu na mabaya ndo myashadadie, haya- leo ni siku ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By Stephen Senkaaba The two accepted Jesus on Thursday evening after Kenyan evangelist Annabelle Renno preached and prayed for them at Kololo Hospital, where Chameleone was admitted on Wednesday...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Pamoja na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ' G . Habash ' na ' mtalaka' wake, Judith Wambura...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Msanii kutoka Marekani T.I ametangazwa leo kuwa. ndie msanii atakae burudisha kwenye serengeti fiesta itakayofanyika Dar
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi! Bila shaka hakuna ubushi kuwa Diamond ni msanii ambaye ameendelea kufanya vizuri Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hata Ulaya ana kubalika na hadi kufanikiwa kuingia...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
wasanii wa bongo movie ku act kuwa wamependa real love wakati hawawezi na hawajui kupenda ni upuuzi wa hali ya juu,unakuta movie inamuonyesha monalisa au flora mvungi anauza karanga mitaani,wakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muigizaji wa filamu za Kibongo, Salim Omary ‘ Slim ’ amejikuta akiwekwa nguvuni katika Kituo cha Polisi cha Makangarawe , Yombo -Buza , jijini Dar akidaiwa kugoma kurejesha gari aina ya Land Lover...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Umaarufu wa insta, watu wanapenda umaarufu kupitia kwa kutoa matusi kushadadia ugomvi kuwasimanga wenzao kujiona wao n wasafi kuliko wenzao. Huyu dada ganya1984 ameolewa na mume wa mtu ambae ana...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom