Star wa filamu za kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu.
Inadaiwa kuwa...
Yule Betina wa UK alieeolewa mke wa 3 amekula kipondo cha maana juzi baada ya kugundulika kuwa yeye ndo aliewa rekodi kina Kajala wakimsema Wema na kisha kumrushia Dougiemasta14 hiyo clip.
Sasa...
30/10/2014 anafungua mgahawa mpya wenye baada ya NYUMBANI LOUNGE utakaokwenda kwa jina la NEW MOG bar &restaurant na band yake itaanza rasmi kutumbuiza!!
Ujio huu mpya unathibitisha kuwa ndoa...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwami inayosaidia watu wasiojiweza na yatima , inayofanya kazi nchi za Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC ) , Mwami Rajabu ' Mkongo ' ameibuka na madai...
Jamani wadau wapenda ulimbwende kazi kwenu ndo muda wenyewe. Star tv wanaonyesha moja kwa moja mashindano haya.
=================================
kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es...
Jamani wale term kiba vipi tena mbona hata mwezi bado no any uzi unaomuongelea huyo mpendwa wetu.
Habari ya mwana imeishia wapi?
Tupeni up date yupo wapi? show wapi? anapanga kufly kwenda...
Hivi sasa ni mwenyekiti wa chadema kata moja huko morogoro mjini, Atagombea ubunge jimbo la morogoro mjini. Pamoja vituko alivyonavyo ikiwa ni pamoja na kuvua nguo jukwaani lakini ameendelea kuwa...
Vanessa Mdee amesema anamshukuru Diamond Platnumz kwakuwa amefungua njia ya wasanii wengi wa Tanzania kufahamika kimataifa.
Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa mafanikio ya staa huyo yameifanya...
Akizungumza na Udaku Magazine, Lucy alisema kwa sasa amebaki Bongo peke yake ikiwa ni baada ya mumewe kwenda kwao Denmark ambapo alitakiwa kurudi kazini lakini bado anafanya maandalizi ili...
Tokana na chanzo hiki cha The Citizen, Gardner amekiri mkewe huyo kuomba talaka kwake endapo ataendelea kushikilia msimamo wa kuhamia Kenya kikazi alikopata ofa yakuweza kumlipa kipato cha...
Yaani jamani sio siri Wema ndio kila kitu kwa wadada walio wengi Dar es salaam baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena.
Nina ndugu yangu mmoja ana duka...
Jamani habari zilizotumwa hivi punde
Jestina George kadundwa mbaya na Meckisha
Kwa tuhuma za kuwa record kina Kajala
na kina meckysha wakimsengengenya..Wema..
Kwa mwendo huu si balaa
Kuna kumbukumbu za vijana mbalimbali ambao kutokana na maisha yalivyowaendea hapa nyumbani waliamua kutorokea ughaibuni.
Niwengi sana watu waliotorokea nnje.
Kwa kumbukumbu zangu nawakumbuka...
Kuna baadhi ya watu ambao huamini kuwa mtu akishakuwa msanii wa muziki ni lazima atakua mtumiaji wavilevi kama bangi, na wapo wanaoamini kuwa binti akishaingia kwenye sanaa ya urembo pia ni lazima...
Kajala Masanja amekanusha uvumi ulioandikwa kwenye magazeti ya udaku kuwa amefungua kesi dhidi ya mama yake mzazi na Wema Sepetu kutokana kile kilichodaiwa kutukanwa na mama huyo kwenye sherehe ya...
Uhusiano na mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2013, Latifa Mohamed wenye miezi tisa sasa, ndio uhusiano mrefu zaidi aliowahi kuwa nao Ben Pol tangu awe staa ameongea na chanzo makini juu ya...
Kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo Wema Sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva Diamond, kwa mujibu wa mama yake Wema amefunguka na kusema kama Diamond...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.