Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ni msichana mrembo na anayevutia kimapenzi ambayo Tanzania haijapata kuwa nae, kwa kweli ukimuangalia kwa haraka ni msichana mwenye heshima na upeo wa hali ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hakika Kiba ameitendea haki hii collabo, FA hajakosea kumpa shavu huyu king aliyerudi!! Mwaka huu watakaa tu, Kiba sasa ni kama maji usipoyanywa utayaoga tu!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Soon ataitwa Dr.Nick wa pili. Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.
5 Reactions
417 Replies
44K Views
Mpo hapo eeee By albertomsando Ali Kiba; Diamond na Muziki: Kila mwanadamu anapenda kufanikiwa katika jambo lolote analofanya. Mafanikio yanatokana na sababu nyingi lakini muhimu zaidi ni; 1...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA: 1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE...Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa...
8 Reactions
32 Replies
6K Views
Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali ambaye ni mtoto wa mzee Magari amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wodi namba 8. Msanii huyo, amefariki leo...
0 Reactions
5 Replies
16K Views
Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa...
0 Reactions
111 Replies
26K Views
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Flava nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz' huenda akaingia matatani baada ya juzi kupanda jukwaani kutumbuiza katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 akiwa...
1 Reactions
119 Replies
21K Views
Wadau hivi hakuna mtu mwenye video ya hili tukio?! Nimeitafuta mitandaoni bila mafanikio!!
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Asilimia 90 za thread ndani ya jukwaa hili zinamhusisha Diamond kwa njia moja au nyingine.. Asanteni Watanzania kwa kukubali kilichokuwa Bora na kwa wale wanaomkataa wanajikuta wakimkubali...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong , China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline Fitzpatrick Cliff ' Jack Patrick ' gerezani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu aliopotangazwa mshindi. Ziba masikio, fanya yako! Wakati watu wakichonga juu ya sakata la madai ya kuwa na mtoto na utata juu ya umri wake, Miss Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ilivyo chukuliwa kutoka kwenye page ya Dimond huko facebook Team Kiba mpo?!!!
3 Reactions
59 Replies
10K Views
Imeelezwa kuwa Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) walitoa kibali kwa msanii Diamond kutumia Nguo za Jeshi hilo katika Tamasha la Mziki wa kizazi kipya maarufu kama Fiesta lililokuwa na kauli mbiu...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba. Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao...
2 Reactions
93 Replies
17K Views
baada ya kuwasili kutoka kigoma
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Nadhani Hili jina si Geni Kwa Wadau Wa Muziku kuanzia miaka Ya 2001 mpaka 2005.. Tafandhari ndugu wanaJf mwenye Nyimbo za Huyu Dada Naomba atuwekee hapa maana Nimetafuta mpaka jasho limenitoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani kwa waliokuwa Fiesta watakubaliana na hili. Sasa hivi hawa jamaa mambo hadharani kweupe, kitu full affection. Dah hongera kwa kujichukulia katoto kazuriii, kweli usanii unasaidia kupata...
0 Reactions
69 Replies
13K Views
Dar es Salaam. Kashfa imemwandama Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu baada ya vielelezo mbalimbali kuonyesha kuwa ameghushi umri. Sitti katika fomu zake alijaza ana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom