Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni naomba nitoe hongera kwa mdada au mjasiriamali jokate kwa hatua yake ya kusaini kiasi cha shilingi bilioni 8.1 kutoka kampuni ya kichina itakayomsaidia kutangaza...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014 ), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ' Lulu ' na kudai ni rafiki yake wa...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake , Nasibu Abdul ' Diamond ' , limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa. Tukio hilo...
0 Reactions
175 Replies
23K Views
MTAZAMENI AL GORE ALIVYO BIZE Hakuna atakaye bisha kuwa BEN alikuwa ni msomi sana wa vitabu na nadhani kwa sababu alikuwa ni Humanities graduate. JK on the other hand sijui anasoma nini but...
0 Reactions
88 Replies
19K Views
Huyu producer wa Godfather kashagundua kuwa watanzania wana shobo sana na sio creativity a.k.a ubunifu ndo unawapeleka South Africa. videos ziko kwenye quality ya kimataifa ndio hilo halina ubishi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a. k . a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Pakua hapa bure:
0 Reactions
35 Replies
54K Views
MCHEZA filamu za Kibongo, Alice Bangezi ' Rayuu', amedai kuwa huwa anashindwa kudumu na mwanaume kwa kuwa hana mvuto wa mapenzi na mara nyingi anachezewa na kuachwa kwa dharau kubwa . Rayuu...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Poor moze kweli kabisa kaachana na mama watoto wake na wasichana Potential kaenda Kujiweka Kwa Anti Ezekiel..AMa kweli umaskini m'baya
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameibuka na kufunguka kuwa, aachwe azae kwani umri unazidi kuyoyoma. Akizungumza na mwanahabari wetu...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Ni mawazo yangu, Imefika wakati ma celebrities wetu wapewe ushuru na wamiliki wa magazeti ya udaku kwani ndo wanaowaweka mjini. Ili gazeti liuze lazima heading ibebwe na jina la celebrity...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MTANGAZAJI wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ' Dida' amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ' date ' na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jose cameleon
0 Reactions
101 Replies
36K Views
AY amesema kampuni yake ya Unity Entertainment haimsimamii tena aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa The Chase, Feza Kessy. AY amekiambia kipindi cha Mambo...
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Anaejua historia ya huyu kijana naomba anijuze kidogo maana naona watu wanadhani pesa alizoshinda ni nyingi sana ila namuona kama ni mtoto wa kisure inawezekana hizo ziko nyumbani nyingi tu. Sasa...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Habari ya mjini! Gumzo katika ulimwengu wa mastaa Bongo ni kitendo cha mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' kuendelea kujiachia na staa wa mrembo mwenye maskani...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa katika Media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote katika maisha zaidi ya upuuzi mtupu. Kama vipi nendeni mkawaombee kura...
13 Reactions
204 Replies
22K Views
WIMBI la uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya limeshika kasi hivi sasa kwa wasanii na watu mbalimbali huku Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe akilivalia njuga kulikomesha. Wakati hayo...
0 Reactions
34 Replies
14K Views
Nimekuwa nikitizama shughuli za mziki tanzania nkagundua kuna miungu watatu, Ruge, Said fella na babu tale. Hawa jamaa wana ka cartel kao, ukigombana na mmoja unapotea kabisa. Ila wana sifa...
0 Reactions
87 Replies
16K Views
Ishu ya Diamond na Davido imeleta mitazamo tofauti. Kuna ambao wanaona Diamond kamkosea Davido kwa kujibu mapigo na kuna wanaoona Davido kawakosea adabu watanzania kwa ujumla kutokana na tweet...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Back
Top Bottom