Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamani wa fj hivi ni kweli huyu mwanamuziki TID anakula unga . aka teja. anayefahamu. ana elimu gani. Na ana elimu gani?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu...
0 Reactions
86 Replies
28K Views
Afande sele ameingia kwenye bifu nzito na chid benz baada ya afande kusema dito alitoka watu pori(man united) akaenda La familia(bolton) akimaaniisha dito alitoka man united timu kubwa akaenda...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Jakob Steven Jb na Steve Magele Nyerere wamepiga nguvu kavukavu karibu na eneo la msiba wa marehemu Adam Kuambiana huko Bunju huku kisa kikiwa...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
  • Closed
Habari kamili soma hapa...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Aliyekuwa staa ya series maarufu ya The Shield, Michael Jace ametiwa mbaroni kwa kosa la kumuua mke wake. Staa huyo alijisalimisha polisi baada ya kumuua kwa kumpiga risasi aliyekua mke...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ray J atawazawadia maharusi Kanye west and Kim kadashian dolla 50000 Kama zawadi kwa harusi Yao pesa hizo zinatokana na mauzo ya sex tape ya Kim K and Ray J. Huyu jamaa Mie namuona Kama hamnazo
0 Reactions
18 Replies
4K Views
hapa alikuwa anajibu 'haters' via instagram!... Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo: Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa...
0 Reactions
119 Replies
19K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Wema Sepetu na Mtitu usiku wa kuamkia jumatatu walizinguana kinoma kaisi cha kutaka kutoana roho kwa kile kinachodaiwa Wema kujibu nyodo mara...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Babu Tale anajulikana kama meneja wa Diamond ambaye kwa sasa yuko juu kwa kasi. Hapo kwenye shoo mtwara meneja wake anaingia nae ukumbini huku kavaa kanda mbili. Hivi ni sawa kweli kwa meneja...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wiz Khalifa sure has been hooking someone up with some joint lol. 30 year old Amber Rose wore the biggest and weirdest sunglasses I have ever seen to the Billboard Music Awards. I love the...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Diamond ndiye aliteyajwa kwenye vipengele vingi zaidi (5) vikiwemo Msanii wa Mwaka, Wimbo wa Mwaka, Collabo bora, Video Bora ya mwaka na msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki. Ben Pol ametajwa...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
When you have a 13 year old daughter who is rumoured to be dating a 20 year old guy in America then child protective service would definitely snoop in your life. I can say the same for Will and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Love is imperfect, yet so perfect. Love is angry, yet so peaceful. Love is unfaithful, yet so faithful
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo bado mabaya ! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, Wema Isaac Sepetu ' Madam' na Kajala Masanja ' K ' , sasa umechanja mbuga hadi kufika mjengoni ...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Rappers appear on TV shining like crazy and bragging about how much money they have. But most of this is a really ugly lie and one that makes black people look as ignorant as any minstrel show in...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Msanii wa kizazi kipya na mshindi wa ktma2014, Diamond Platnum, amefunguka kuhusu tetesi zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ushindi wake wa tuzo saba mfululizo alizozipata zimesababishwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
(nb: these pics are links; kindly click them) mwanzoni nilipomuona huyu selebu akitoa 'shooting' ya nguvu na sara 'binti kiziwi' [ kwenye wimbo maarufu wa 'binti kiziwi' alimshirikisha msanii...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…