Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

kwa kweli bado najiuliza,kwamba ni ulimbukeni au ukosefu wa elimu? Zimepita fasheni nyingi, lakini hii ya wanaume kuvaa sketi jamani twende nayo taratibu. Nasema hivi kwa sababu juzi tulimshuhudia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inawezekana kuonekana ni jambo la ajabu kwa mtu mwenye taaluma inayoheshimika katika jamii kutojihusisha kabisa na kazi hiyo, badala yake kufanya kitu asicho na msingi nacho. Wengi huamini kuwa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
The story of Frane Selak is so unbelievable that you'd walk away from a movie, heck, a documentary of his life thinking it was too unrealistic. But it's not. It's a true story. Selak cheated...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ivi ndivyo muigizaji lulu Michael alivyotokelezea usiku wa KTM awards 2014.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Katika pitapita za mitaani nimepata kusikia haya ya kisemwa kwamba Babu - Mkali wa Rap Katuni amekuwa akijishughulisha na kulinda katika sehemu za kuegesha ama kulaza magari usiku huko Temeke...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Cool or Not?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kati ya machampion niliotokea kuwakubali kutokana na historia zao au wanaweza kuwahamasisha watu kujiamini ili kufanikiwa basi ni huyu bondia wa zamani Mohammed Ali 1. Huyu jamaa alikuwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
This awesome, this is amazing and breathtaking…. When I personally watched that video I was really touched… Dani Alves ate the banana that was thrown at him, he started a revolution. Right now...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Above is a picture of her when she just started dating Peter. Check out her recent picture below
1 Reactions
7 Replies
1K Views
WanaJF nisaidieni,mara kwa mara nimesoma hapa kuhusu mtu anaita Jussa,ni nani,nguvu yake ikoje?ni kiongozi wa serikali?au ni polisi,mwanajeshi?
1 Reactions
12 Replies
10K Views
@ LE MUTUZ SYSTEM LIVE STRAIGHT TALK!!:- LEO I HAVE TO SAY SOMETHING KUHUSU VITA YA MY TWO SUPER FRIENDS SUPER STAR KAJALA NA WEMA SEPETU. MIMI NI BAHARIA KWENYE UBAHARIA TUNA RULE NAMBA MOJA...
2 Reactions
199 Replies
18K Views
Super star, Genevieve Nnaji is 35 today and a few friends celebrated her at an upscale lounge on Victoria Island, Lagos in the wee hours of today. Oh by the way, Genny took to her Instagram...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa Rihanna hua sio ‘big deal' kupost picha za utupu katika mitandao ya kijamii, inavyoonekana ni moja ya starehe zake ambazo zimeonekana kuvuka mipaka iliyowekwa na wamiliki wa mtandao wa...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Wasanii kumi wa bongo flava waliobadili a.k.a zao Professor Jay Mkongwe huyu alietokea kundi la Hard Blasters Crew (HBC), mwanzoni alikua anajiita Nigga Jay lakini baadae akaja na jina la...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Ili hali kampuni bia ya bia ya kilimanjaro inapoteza pesa kwa kujua wasani wataonesha ushirikiano,badala yake hamna kitu,mfano wasanii kama jdee,mzee yusuph,hawakuwepo kwenye upewaji wa tuzo...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
RAYUU "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA NA KUNIWEKA NDANI" Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta...
0 Reactions
27 Replies
19K Views
Muimbaji na muigizaji na muigizaji wa filamu nchini, Hemedy PHD amesema anaamini amefanikiwa kuziba pengo la marehemu Sharo Milionea aliyeigiza kwenye filamu kadhaa kama mtoto wa muigizaji...
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Back
Top Bottom