kwa kweli bado najiuliza,kwamba ni ulimbukeni au ukosefu wa elimu? Zimepita fasheni nyingi, lakini hii ya wanaume kuvaa sketi jamani twende nayo taratibu. Nasema hivi kwa sababu juzi tulimshuhudia...
Inawezekana kuonekana ni jambo la ajabu kwa mtu mwenye taaluma inayoheshimika katika jamii kutojihusisha kabisa na kazi hiyo, badala yake kufanya kitu asicho na msingi nacho.
Wengi huamini kuwa...
Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae
aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na
mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema
kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana
kubwa sana kwenye kazi zake...
The story of Frane Selak is so unbelievable that you'd walk away from a movie, heck, a documentary of his life thinking it was too unrealistic. But it's not. It's a true story. Selak cheated...
Katika pitapita za mitaani nimepata kusikia haya ya kisemwa kwamba Babu - Mkali wa Rap Katuni amekuwa akijishughulisha na kulinda katika sehemu za kuegesha ama kulaza magari usiku huko Temeke...
Kati ya machampion niliotokea kuwakubali kutokana na historia zao au wanaweza kuwahamasisha watu kujiamini ili kufanikiwa basi ni huyu bondia wa zamani Mohammed Ali
1. Huyu jamaa alikuwa...
This awesome, this is amazing and breathtaking . When I personally watched that video I was really touched
Dani Alves ate the banana that was thrown at him, he started a revolution. Right now...
@ LE MUTUZ SYSTEM LIVE STRAIGHT TALK!!:-
LEO I HAVE TO SAY SOMETHING KUHUSU VITA YA MY TWO SUPER FRIENDS SUPER STAR KAJALA NA WEMA SEPETU.
MIMI NI BAHARIA KWENYE UBAHARIA TUNA RULE NAMBA MOJA...
Super star, Genevieve Nnaji is 35 today and a few friends celebrated her at an upscale lounge on Victoria Island, Lagos in the wee hours of today.
Oh by the way, Genny took to her Instagram...
Kwa Rihanna hua sio ‘big deal' kupost picha za utupu katika mitandao ya kijamii, inavyoonekana ni moja ya starehe zake ambazo zimeonekana kuvuka mipaka iliyowekwa na wamiliki wa mtandao wa...
Wasanii kumi wa bongo flava waliobadili a.k.a zao
Professor Jay
Mkongwe huyu alietokea kundi la Hard Blasters Crew (HBC), mwanzoni alikua anajiita Nigga Jay lakini baadae akaja na jina la...
Ili hali kampuni bia ya bia ya kilimanjaro inapoteza pesa kwa kujua wasani wataonesha ushirikiano,badala yake hamna kitu,mfano wasanii kama jdee,mzee yusuph,hawakuwepo kwenye upewaji wa tuzo...
RAYUU "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA NA KUNIWEKA NDANI"
Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta...
Muimbaji na muigizaji na muigizaji wa filamu nchini, Hemedy PHD amesema anaamini amefanikiwa kuziba pengo la marehemu Sharo Milionea aliyeigiza kwenye filamu kadhaa kama mtoto wa muigizaji...