Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

KATIKA WIMBO WAKE MPYA WATAARABU KUNA BAADHI YA MASHAIRI ALIYOYAIMBA YALIKUWA YANAMGUSA KABISA SHILOLE MOJA KWA MOJA BILA HATA KUPINDISHA, ''SURA MPYA MIGUU YA ZAMANI'' AMA KWELI MKOROGO...
0 Reactions
29 Replies
19K Views
Mwanamuziki Ajulikanae kama Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza kufikisha followers Milion 50 kwenye mtandao wa Twiiter ...Anae fuata kwa nyuma ni Justiner Birber ambae ana followers Mil 49 na wa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
KUMBE MZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME TATA! Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole' kujinadi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wazungu wanasema what goes around comes around. Picha linaanzaa miaka mtatu na kitu iliyopita, mitaa ya Mbagala jijini Dar es Salaam kwenye uchukuaji wa video ya wimbo wa pili wa Diamond uliompa...
1 Reactions
59 Replies
24K Views
Arnold Schwarzenegger has 2 very good reasons NOT to finalize his divorce … and one has to do with writing a big fat check to Maria Shriver.
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Naunga mkono kauli hii ya Joyce kiria, kweli wasanii wetu bado sana kwenye suala la kujitambua, ubongo umeganda, uwezo wa kufikir umefika kikomo, wengine wanajiuza, wengine mapunda na wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In the past, there was much news about the infertility of the famous reality TV star Khloe Kardashian. Many speculations were rising that Khloe is meeting with the fertility specialists for her...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu demu nilikuwa namkubali sana sema nilivyosikia romey Jones, peti man, tunda man na diamond washapita dah inabid Nifikirie upya wazo langu la kutaka kumnunulia Toyota ist
0 Reactions
9 Replies
5K Views
uyu ndio mke wa nabii TB JOSHUA
6 Reactions
26 Replies
7K Views
huyu celebrity kazaliwa tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo mwaka 1954. LONG live denzel. you are my favorite actor. denzel, ana utajiri unaokadiriwa kuwa dola milioni 150 za kimarekani...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
ULE udugu wa ukubwani kati ya wazazi wa mastaa wa filamu Bongo, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu' na Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba' umezidi kukua kufuatia kwenda Bukoba, Kagera kwa ajili...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
resident Barack Obama shared this lovely picture of wife, Michelle and himself on social media. He posted it to mark her birthday! Nice pics they got! See his tweet below...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kamati ya Maadili ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) imekitaka kituo cha Radio Times FM ya Dar es salaam kuomba radhi mfululizo siku tatu na kumlipa tsh 500,000 msanii wa Taarab, Karya Temba...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Msanii AY kaohijiwa na Citizen Tv muda mfupi uliopita anasema ndoto yake ikikuwa awe rubani na sasa ameanza kusoma hiyo fani ajabu ajasema anasomea wapi maana anaona yuko busy na show tu za nje.
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wadau kama kuna anayemfaham yule demu aliyekuwa anadate na prezzo atufahamishe huyu binti ameobukia wapi bcoz huko instagram ni fujo za picha picha from morning to evening. "Umaarufu" wake...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Mtangazaji nguli wa EA-radio katika kipindi cha michezo Keneth Kidago ametutoka. Misa ya kumuaga inafanyika katka kanisa la KKKT Muhimbili na badae mwili wake kusafirishwa kwenda mkoani Morogoro...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Msanii Jay Z amebarikiwa kupata mchumba mzuri. Si kwa sababu kuwa kila asubuhi akiamka atakutana na mrembo huyu bali pia mrembo huyu anaweza kujipiga picha asubuhi akiwa hajavalia make-up...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Beyonce's daughter, Blue Ivy Carter has traveled with both parents on most of their tours and her mum has shared intimate pictures of her family while on tour. See more pics below.....
2 Reactions
5 Replies
2K Views
source mimi mwenyewe niniliepiga picha eka hotel-kenya
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Back
Top Bottom