Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion. Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza...
3 Reactions
109 Replies
45K Views
Msanii wa Bongo ambaye bado ni mchanga katika sekta ya usanii kwa upate wa umaarufu ameamua kumtemea mate Diamond Platinumz kwa kumwambia aache kashfa. Katika akaunti yake ya Facebook, msanii huyu...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
You like? See More Below.....
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Beyonce, Ciara, Amber Rose, Taylor Swift and Alicia Keys looking fabulous at last night's 56th Annual Grammy Awards held at The Staples Center in Los Angeles and hosted by LL Cool J for the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tyra Banks is said to have a new man in her life… and he’s a billionaire to boot. According to reports, the supermodel-turned-media mogul is dating Iranian-born Shervin Pishevar, who is the...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kipindi cha Mkasi kinachoendeshwa na Bi. Salama Jabir katika EATV ni kizuri na nampongeza. Ila kwa maoni yangu, kitakuwa kizuri na bora zaidi kama atajali sana 'maswali fuatilizi' (follow up...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila aka VJ Penny, amesema kuwa yeye na mpenzi wake, staa wa ‘My Number One', Diamond Platnumz, wamepeana nafasi ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KUNO.1....AWANUNULIA WACHUNGAJI WAKE 30 KILA MMOJA GARI,MABASI 20 KWA AJILI YA WAUMINI,ANAINGIIZA MILIONI 31 KWA SIKU. UCHUNGUZI wa kina uliofanywa na Gazeti la Uwazi kwa muda wa siku 30...
8 Reactions
171 Replies
51K Views
Wakati baadhi ya wasanii wa kiume wakichachamaa kurekodi nyimbo zao wakishirikiana na wanamuziki wakubwa wa kimataifa(kolabo), msanii wa kike katika muziki nchini Shaa, amesema kuwa hawezi kufanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Diamond Platinumz ziara yake alipokuwa Kenya ilikuwa ya mafanikio. Shoo aliyoipiga ya Safaricom siku ya Ijumaa ilikuwa kubwa na baadhi ya picha kutoka tukio hilo ndizo hizi hapa...amepagawisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
guys, For sure bongo movies needs some prayers so as to change positively. Iam speaking from the bottom of my heart, this so called 'foolish age' by Lulu michael, is boring , 'chosharing' so...
0 Reactions
106 Replies
13K Views
Machalii wa Arusha wamevurugwa, duuh!
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Star wa Bongo Movies Lulu Michael, ambaye pia anakisiwa kuwa miongoni mwa wanawake warembo afrika nzima katika tasnia ya filamu, ameipa mkono waburiani utumizi wa vileo. Kulingana na staa huyu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Weusi wamedhibitisha wao ndo best hip hop artist baada ya kuachia video ya nje ya box which is best video ya hip hop kwa upande wa hip hop in tz ever.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wacheza soka wawili mashuhuri duniani, wamefikishwa mahakamani mjini Paris Ufaransa kwa kosa la kufanya ngono na kahaba aliyekuwa na umri mdogo. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 21 sasa hivi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni mlio mjin apo mtujuze mana simskii tena kwenye kipind chake cha Asbh pale EAradio..Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Average Americans are rarely afforded private tours of the White House — even though Americans are the ones who keep the lights on. But Beyonce and Jay Z are not your average citizens — at...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale mlioangalia kipindi cha Malumbano ya Hoja Juzi Jumatano (23/1/2014) Dr Lenny Kasoga aligusia ujumbe kwamba Mh sana hakuytumia jina lake wakati akisoma kwani alisoma shule za dini Je...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…