Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwa mujibu wa @MusicbaseAfrica hawa ndo wasanii 10 waliofanya vizuri zaidi Barani Afrika Mwaka uliopita 2023 na hii ni kutokana na kazi walizo achia mwaka uliopita,Namna ngoma zao zilivyofanya...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas. Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Hawa celebrities wetu Ni Bora umuone kwenye picha (editing) vinginevyo unaweza kuzimia aisee. Nimekutana na mshangao wa 2024.
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi" Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank)...
17 Reactions
181 Replies
10K Views
Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo. Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k. Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati...
52 Reactions
395 Replies
25K Views
Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema alifariki katika ajali...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Anaumwa mguu amekuwa mlemavu na Sasa anatembea Kwa uhuru baada ya maombi . Angela yuko poa na soonest ataibuka na songi mpya USSR Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye kujua huyu mtangazaji alipo sasa hivi naomba anifahamishe! Kwani namkumbuka sana hasa kipindi cha kombe la dunia 2002 kule korea na japan!
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba...
84 Reactions
793 Replies
62K Views
GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Rapa na Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop, Snoop Dogg ametangaza kuacha Uvujati Sigara baada ya kukaa na kushauriana na Familia yake. --- Rapper na nyota wa hip hop Snoop Dogg ametangaza...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Hawa majamaa wali tisha enzi hizo, uigizaji safi. 👉 Back to the days kisanga kilivyo vumbuliwa.
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Binafsi naona hawa jamaa hawastahili kuwa kings of hip hip, vifo na media ndio vimefanya wawe overrated ila ndo kwanza walikua wanaanza kuishika game sidhani kama wangekua hai hadi leo wangekua...
8 Reactions
187 Replies
21K Views
Ni nani anayemjua vyema huyu ndugu? Nasikia ni “Nabii” Je, huduma yake ipo wapi? ============= Huyu ndugu jina lake halisi ni George David Kasambale. Ni mwenyeji wa Singida. Mimi nilianza...
9 Reactions
560 Replies
145K Views
Rick ross hitting the weight to climb the MT. Kilimanjaro next year.
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy. Watoto wadogo waliniponda lakini watu...
37 Reactions
160 Replies
20K Views
Moja ya vitu vya thamani alivyopewa na CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ni cheni na pete vyenye thamani ya million 150. Mbali na hayo pia amepewa nyumba nzuri ya kuishi Mbezi Beach ni mara tu...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Hapa kaligraph msanii wa hip-hop toka Kenya alijinasibu nakusema yeye ni rapper mkali ndani ya East Africa na hakuna Rapa yeyote kutoka Tanzania anayeweza kumtisha. Uliibuka mjadala mkubwa...
14 Reactions
44 Replies
6K Views
Kuna wakati nataka kuamini conspiracy za kwamba Hollywood kuna figisu zinazofanywa dhidi ya Actor weusi juu ya mambo fulani fulani yanayowatokea Black actors. Btu lets keep it as a Conspiracies...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…