Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio. Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa. Clouds media vs Kalapina Clouds media vs...
23 Reactions
130 Replies
10K Views
ICE SPICE Name- Isis Naija Gaston Born - January 1, 2000/Bronx New York city. Genres - Hiphop. Drill Awards and Nominations. BET HIPHOP AWARD - Best breakthrough Hiphop artist...
1 Reactions
1 Replies
280 Views
Ninachompendea Muna ana Tabia ya kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa. Muna Siku hizi ka upgrade uchawa, kutoka kuwa mbeba mapochi wa wema, lulu hadi kuwa Karibu na bosslady Zari , kweli muna...
10 Reactions
72 Replies
11K Views
Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA". Sheria ya...
6 Reactions
72 Replies
5K Views
Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
A judge set bail at $750,000 for the one-time gang member charged in connection with the murder of Tupac Shakur. Judge Carli Kierny also ruled that the suspect -- Duane "Keffe D" Davis -- can...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Habari zenu wakuu, Huyu mwanadada Jackie Marie alivuma Sana na nyimbo yake Tulia mpenzi lakini tangu hapo hajawahi kutoa nyimbo nyingine Tena. Ni miaka mingi imepita, nadhani hata kizazi Cha Sasa...
8 Reactions
42 Replies
8K Views
Bruce Lee aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba cha kulia chakula...
31 Reactions
168 Replies
12K Views
1. Ommy dimpoz Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga 2.Diamond platnumz Huyu amefanikiwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22. Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya...
29 Reactions
160 Replies
19K Views
Vijana wengi wadogo wakiwaona celebrities kina Diamond, Mario, Mbwana Samata, Masoud Kipanya, Joti. n.k. wanashawishika kutaka kuanza maisha ua sanaa ama michezo bila kujua kundi hilo halizid watu...
2 Reactions
9 Replies
728 Views
Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Mzuka mwanajamvi. Influencer na muuza magari maarufu nchini Dotto Magari ambaye ni watani na wanamashindano ya kimaisha na Mwijaku na baba level ameiponda nyumba mpya ya mwijaku iliyoleta gumzo...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa...
4 Reactions
7 Replies
978 Views
Habari nikuwa muda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii fulani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi...
9 Reactions
107 Replies
11K Views
God bless. Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu. Huyu ndio Chidy tulie mjua. Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Asili ya Mo ni Gujarat ambapo kuna jamii kubwa ya wahindi weusi, kwa hiyo usipagawe sana .
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Jamani kwema? Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka? Yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha...
20 Reactions
220 Replies
12K Views
Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Back
Top Bottom