Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

1. Petit man wakuache Huyu jamaa amefahamika kupitia Wema Sepetu, jina lake limevuma na kutajwa tajwa sana baada ya kuwa karibu na madame. Sio muigizaji wala mwanamuziki. 2. Romy Jones Huyu jamaa...
6 Reactions
187 Replies
28K Views
Hizi ni Nyimbo za mastaa wakubwa East Africa alizowai kuandika Tommy Flavour msaani mpya wa Kings Music One Day- Nandy Nifanane- Wahu Katu katu - Maua Sama Main Chick - Maua Sama Your Love -...
4 Reactions
44 Replies
9K Views
Yupi genius kati ya hawa anaye kumbukwa mpaka kesho kwa ubunifu wake kuwa uti wa mgongo katika maendeleo ya dunia. .
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. Vipi ukimpigia simu, atapokea?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
#MadiniNaPatron 1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel Mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM Jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki wa...
22 Reactions
54 Replies
5K Views
Baba Levo Baada ya mahusiano ya Baba Levo na mzazi mwenziye anayejulikana kama Mama Ruby au Salma kuvunjika, inasemekana kwamba mkewe huyo Salma alilaghaiwa na vibopa ili amwache Baba levo...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua...
43 Reactions
481 Replies
64K Views
Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Jina lake halisi ni Salim Njwete Salum, jina maarufu ni 'SCORPION' alijulikana zaidi kutokana na tukio la kumtoboa mtu macho. Alikamatwa na akahukumiwa kifungo. Sasa ametoka yupo mtaani na mengi...
8 Reactions
66 Replies
9K Views
Daaaah, Dizasta Vina anaachia Albamu lakini hakuna hata uzi mmoja unaozungumzia!!!? Yaani watu wanamjadili tu Mwijaku wakati Dizasta vina ameachia albamu!!!? Okay, basi ngoja niingilie kati, maana...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Mashabiki wa Mwanamuziki Madonna (65) wa Jijini New York wamemshtaki mwimbaji huyo kwa 'Udanganyifu' na 'Mazoea Mabaya' baada ya kuchelewa kuanza tamasha lake, la Disemba 13, 2023 wakidai kuwa...
1 Reactions
2 Replies
688 Views
Huyu jamaa imekuwa kawaida kwake sasa kila akiona ngoma ipo trend basi ataidandia na kuforce remix. Sasa hivi majuzi baada ya kudandia wimbo wa Dayoo unaitwa Huu mwaka, raia wakamkalia kooni...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Name: Dayvon Daquan Bennett. Other names: Von. Grandson.V-Roy. Born: August 9, 1994. Chicago, Illinois, USA Died : November 6, 2020. Atlanta, Georgia. Genres : Hiphop, drill, gangster rap...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021 Wakati wa...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakati wa Majira ya Kiangazi mwaka 1991 huko nchini Marekani, Kampuni kongwe ya filamu ya Columbia Pictures iliyopo chini ya kampuni mama ya SONY ilikuwa imepata wazo la kubadilisha logo yake ya...
25 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band. Kwa sasa ametoka kupitia WCB. Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na...
4 Reactions
75 Replies
30K Views
Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Back
Top Bottom