Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii. Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa...
2 Reactions
328 Replies
55K Views
Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao. Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na...
1 Reactions
2 Replies
433 Views
Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao. HII NDIO...
1 Reactions
4 Replies
733 Views
Nataka nianze kumsikiliza huyu mwamba .. baada ya kujua kuwa Yeye na studio yake wameproduce Soundtracks za kwenye Creed 3 . Wanazi wa hip hop Scars Extrovert Nipeni ngoma tano Bora za huyu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao...
2 Reactions
5 Replies
668 Views
Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza. "Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata...
23 Reactions
114 Replies
7K Views
Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali? Jamaa alikuwa na maduka kila kona ya mji, alikuwa na biashara kila kona alikuwa tajiri anayemiliki marange na maV8 alikuwa akitembelea maduka...
13 Reactions
97 Replies
13K Views
Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari. Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila...
28 Reactions
168 Replies
9K Views
Baada ya kuachia wimbo wa "Mapozi" akishirikiana na Byser pamoja Jay Melody, staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul amerudisha maneno ya shukurani kwa Msanii Mr Blue "Byser". Kupitia ukurasa...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
0 Reactions
11 Replies
951 Views
Maisha ya ustaa hutesa wengi sana, ila kwa kua ndio wamechagua ndio njia ya kupatia ridhiki hawana budi. Kwa sasa waweza sema hadji manara ni vile amependa kuishi vile anachofanya, kwa hali ya...
2 Reactions
8 Replies
695 Views
MAREKANI: Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwnn nasema hvyo na kama ukibisha uwe na sabbu, diamond ndio msanii pekee ambaye anaweza kuimba style aina ya moja kweny mziki mfno bolingo, baikoko, hip-hop, normal bongo fleva, amapiano kwa...
7 Reactions
11 Replies
998 Views
Chorus Kali sana na melody imetulia ila amezingua kwenye mashairi ya kitoto hajayapangilia,nadhani hakua serious na hii ngoma, angetuliza kichwa hii ngoma inebamba zaidi ya hapa sababu inaendana...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo...
2 Reactions
76 Replies
41K Views
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Hili ndio Gauni alilovaa Mchumba wa Manara lenye thamani ya Million 400. Watu wa karibu na Zay wanasema material...
18 Reactions
70 Replies
7K Views
Huyu nguli wa michezo wa pale E-Fm Radio kila ifikapo weekend lazima awe London Uingereza. Kama Celeb tuna haki ya kudadavua hiyo mitoko!! warumi una mpya gani hapa?
0 Reactions
87 Replies
25K Views
Asee salam Jana kuna filamu (bongo Movie) nilikua naangalia sasa kuna scene moja ya gerezani Asee kilichonishangaza nikuona et mfungwa kwanza kavaa hereni pia kaachia ndevu na nywele . Sasa...
38 Reactions
87 Replies
6K Views
Baada ya kufanya kolabo yao ya kwanza miaka zaidi ya 10 iliyopita. Je unatamani kuwaona tena kwenye wimbo mmoja?? Ogopaaa!!! 😂😂🔥
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom