Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.
Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa...
KUTOKA KWA:MSANII JOTO LA MOTO.
Leo naishika peni,nilo nayo niyatoe.
Msidhani mi mgeni,maoni mnikosoe.
Ni mwenyeji kwenye fani,acheni yangu nitoe,
Sauti yake Dahuu,inanipa burudani.
Bi Husna...
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Bado hakuna...
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it"
Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho...
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi...
Kinda wa Manchester united Daniel Gore, kazaliwa 2004 ila anapeleka moto balaa.
Garnacho ndio anaingia 20 years!
Je, Tanganyika wachezaji wanwaka wazi wanawake zao?[siyo wake].
Je, utamaduni wa...
Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu Joti, ameonyesha kufurahia kusua sua kwa Maandamano ya CHADEMA ambayo yanafanyika hii leo.
Joti kupitia mtandao wa "X" ameonyesha kucheka na...
Msanii kutoka Nigeria asake, alifunguka hivi karibuni kuhusu kitendo cha msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz kuiga staili yake ya mtindo wa nywele pamoja na staili yake ya kuimba Baadhi ya...
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa.
Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao...
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka.
Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa.
Ilhali yeye...
Mwanadada mrembo Poshy Queen ameandika maneno yanayoonekana ni kama kumkana aliewahi kuwa Mpenzi wake Dj Seven.
Poshy amedai kuwa Seven alikuwa ni rafiki yake na hakuwahi kuwa Mpenzi wake kama...
Rapa Curtis Jackson almaarufu 50 cent, ameonekana kupungua uzito kwenye picha alizopost mtandaoni hivi karibuni.
Rapa 50 cent ni moja wa marapa wenye miili mikubwa ya mazoezi, kupungua kwake...
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye...
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona...
Bondia Mike Tyson ambaye anasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni ameahidi kiasi cha shilingi Bilioni 23 za Kitanzania kwa mwanaume yeyote atakayejitokeza kwa ajili ya kumuoa binti yake mwenye uzito wa...
Aunt Ezekiel amejibu swali la ni lini ataolewa na Baba mtoto wake ambae pia ni msanii wa Bongo Fleva "Kusah".
ANGALIA VIDEO HAPA
Written by Mjanja M1
Video from RickMedia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.