Polisi wanawashikilia Watoto Wawili wa Mwigizaji John Okafor, maarufu kama #MrIbu, kwa madai ya kuiba Tsh. 153,609,096, fedha za Michango ya matibabu yake na kujaribu kutorokea Nchini Uingereza...
Msanii Harmonize amepost video inayomuonyesha akifanya jambo ambalo sio la kawaida kwa walio wengi.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je, wewe unaweza kukunja nguo za mpenzi wako na kuzipost mtandaoni...
Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8)...
Jamani wana Darisalaamu huyu mwamba wa Misungwi Dudubaya Aka Konki3 master mwanaharakati wa Instagram mnamuonaga huko?
Ni takriban miaka 2 huyu mwamba hajapost chochote huko Mitandaoni wafuasi...
Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.
Akifanya mahojiano na East Africa...
nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni.
ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani.
ushauri wangu kwake...
Msanii kutoka kambi ya wakimbizi nyarugusi Founder Tz .
Nilikuwa naomba Jamii tumtazame kwa jicho la tatu anakitu cha ziada.
Amefanikiwa kutoa Hints songs Kali ya kwanza iliitwa nitatokaje na...
Msanii anaefanya vizuri kwenye mziki wa Amapiano nchini Chino Kidd, amelalamika kukosa ushirikiano toka kwa wasanii wenzake kwenye Tamasha lake la Wanaman Experience.
Kupitia ukurasa wake wa...
Nadhani watu wengi wanajua kwamba wimbo wa Forever Young, Jigga alimaanisha kwamba hazeeki, still ana muonekano wa ujana. Yes hii ndio maana inayojulikana na wengi sana huko mtaani, hebu tusome...
Kama tunavyofahamu, Vanessa na mchumba wake Rotimi wamefanikiwa kupata watoto wawili, wa kiume Seven na wa kike Imani.
Kwa kitambo, Vanessa na mwenzi wake hawakuwahi kuwaonesha watoto wao katika...
Star wa Africa Diamond Platnumz aendelea kuonyesha ubabe na ufalme kwenye muziki wa bongo fleva. Na hili limeendelea kuthibitishwa na wimbo wake mpya wa "Mapoz" kutokana na streams lakini pia...
Kama wewe ni shabiki wa Chid Benz na umekuwa ukifuatilia mahojiano yake utagundua kuwa hayupo sawa.
Chid Benz amekuwa na Interviews nyingi ambazo zimekuwa zikitumiwa kama kichekesho kwa baadhi ya...
Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo...
Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene...
Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali!
Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo.
Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde?
R.I.P Tongolanga...
Actor Barkhad Abdi only received $65,000 for his award - winning supporting role in the film captain Phillips.
After production he returned to selling mobile phones in his brother's shop.
Nyota ya Kikundi cha Burudani Misso Misondo inaendelea kung'aa kimataifa baada ya kupostiwa na Msanii mkubwa wa nchini Marekani Chris Brown.
Hii ni hatua kubwa kwao kama kikundi cha Burudani...
Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,
"Naulizwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.