Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana...
Mkiambiwa jitahidini sana kuwa Wasiri kwa Mambo / Mipango yenu hasa ile ya Ndani kwani Waswahili tuna Kijicho ( Husuda ) hasa kwa Maendeleo / Mafanikio ya Wengine huwa hamtuelewi tu.
Haiingii...
Kazi ya sanaa ni kufikisha ujumbe, kuburudisha, kuonya na kadhalika, lakini mi sielewi kuhusu hiki kipindi kipya kilichoanza juzi kuonyeshwa kwenye channel pendwa ya Maisha Magic Bongo DStv...
Baada ya kufunga Ndoa iliyohudhuriwa na Mastaa mbalimbali nchini, hatimae Manara ampeleka mkewe kwa familia yake (Ukaribisho).
Kwenye ukaribisho huo Mke wa Manara amepokelewa na Mama Mkwe, Mawifi...
Hawa wadogozangu bwana mbona kama safari yao haiishi
Wanaenda mbele kama wanarudi nyuma
Huyu anaongea hiki mwingine kile na mdogomtu hiki cha!
We Jux utamuoa huyo mdogoetu mtoto wa kipare...
Aise kwangu mimi
PJ kutoka clouds FM na Gerald Hando kutoka Wasafi Media hawa watu huchoki kuwasikiliza wana madini,
● Wazuri katika uwasilishaji wa mambo magumu katika lugha rahisi
● Wachambuzi...
Msanii anaetamba na kibao cha "Mapozi" alicho washirikisha Jay Melody na Mr Blue msanii Diamond Platinumz, amewataka wapinzani wake waongeze juhudi maana hawamsumbui kabisa.
Kupitia ukurasa wake...
Ile siku iliyo kuwa iki subiriwa Sana na wapenzi wa muziki Africa ndo leo hii ambapo katika usiku wa Leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy.
Taarifa hii itazingatia wasanii wa kiafrika tu...
Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha.
Haji Manara alijibu,
"Kwani...
PlayboiCarti appeared on Adin Ross stream last night for 10 minutes.
They had a $2 million agreement that Carti would show up and talk about his new album.
But because he didn't fulfill the...
Japokua ile video imefikisha viewers milioni moja lkn ile picha yenye mfanano wa kimahaba kati ya Alikiba na Nandy imefutwa
Makachero wanadai nenga wivu ulizidi kiasi...hata kama ni mimi...
Alianzia kuonekana pale Times Fm lakini wakubwa hakuwashawishi kumpa kipindi kikubwa hawakuridhika na kiwango chake.
Baadae akatimkia Wasafi FM akapewa kipindi cha Block 89 akafeli kipindi kikafa...
Ndugu zangu wa Hip hop nawaomba hapa kidogo tuwekana sawa.
Wanasema kwenye pick yake The Late Albert Mangwair alikuwa mkali sana wa freestyle yani mitindo huru. Na sifa kuu alikuwa na uwezo...
Unakumbuka Ile ngoma Water? 🎶Baby Sweat, Baby Water🎶
Sasa msanii ambaye ameimba ngoma hiyo yaani Tayla ameshinda tuzo Ya Grammy usiku huku akiwabwaga wasanii Wakubwa ikiwemo Davido na Burna Boy...
Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki.
Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema,
“Alikiba ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.