Nyota wa R&B na Mshindi wa tuzo za Grammy, Usher Raymond anatarajiwa kutumbuiza katika Mapumziko ya tamasha la Super Bowl katika Uwanja wa Allegiant huko Las Vegas Februari 11, 2024 ambapo...
Kwa speed aliyokuja nayo mwaka uliopita basi nilitegemea atoe hit song nyingine kali kuizid beer nyama lakini wapi! Hizi nyimbo zake mbili ni mbovu na hata mixing haikufanyika kwa usahihi.
Arudi...
Producer mkali na mwenye Hits za kutosha kwenye kiwanda cha BongoFleva "S2kizzy" amejipaka rangi kwenye kucha zake.
Angalia picha hapa,
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema,
"Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa...
According to Billboard, Sony has agreed to pay around $600 million to acquire half of Michael Jackson's music catalog.
The deal is valued at $1. 2 billion, possibly making it the most expensive...
Mtayarishaji mkongwe wa muziki, Master Jay awavaa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kupiga picha na ku-shoot videos kisha ku-post kwenye mitandao yao ya kijamii.
Kupitia...
Video vixen wa mapozi anaitwa
Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya.
Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki.
Ni pisi ya viwango...
Nimezisikiliza zote na kuangalia video zao hakika Nandy na Ali Kiba mmetoa nyimbo nzuri sana.
Pamoja na Diamond kui promote sana Mapozi kwa kutumia media zake ili kuifunika Dah! Lakini wapi...
Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia.
Ameandika...
Kulikua na wachekeshaji wanajiita Serious Funny TZ ambao walianza takribani miaka 7 iliyopita.
Hawa jamaa walikuwa na content za uchekeshaji kuliko comedy tunazoziona sasa hivi. Sikuhizi siwaoni...
Mnamkumbuka Best Nasso?
Hakika huyu jamaa hauwezi msikia sana mijini lakini ingia bush huko na kokoroni kwa wavuvi jamaa ana hit sana.
Natumaini mimi sie pekee yake ambae nimegundua hilo...
Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda...
Rapa mkali na mwenye rekodi kedekede kwenye Muziki anaoufanya Drake, ameishtua Dunia baada ya video ya utupu inayodaiwa kuwa ni yake kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ulimwenguni.
Video hiyo...
Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.
Kupitia ukurasa wake wa...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah...
Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM.
ANGALIA VIDEO HAPA
Djaro amefanya kazi TBC kwa muda...
Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.