Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

According to Coroner’s report revealed on Friday, the Porsche in which Fast and Furious star, Paul Walker was travelling in was going at over a 100mph (160kph) before it crashed and burst into...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kulikuwa na uvumi baada staa wa bongo movies kushikwa na ugonjwa wa ghafla usiojulikana chanzo chake lakini baadae ukweli umegunduliwa kuwa Nisha alikuwa mja mzito na aliavya mimba jambo ambalo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wimbo unaitwa WOLOLO,humu ndani bi mkubwa huyu kajua kujiachia jamani.. <a data-cke-saved-href="http://www.youtube.com/watch?v=86d0r-3fmxg"...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Mtangazaji Maarufu wa Clouds Fm Ameweka picha ya Shamba lake la bangi mtandao wa Instagram na kusema haya: "Mic na Mziki wa Bongo Ukizingua Kilimo Kwanza Kinanihusu"
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Yes, you read right. So excited to announce that Annie and 2face Idibia welcomed a daughter today January 3rd 2014. She gave birth in the past hour in an Atlanta hospital. Mother and child are...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Says he's missing his family and pinging them.. He is jetting out to Senegal.. Doesn't he look like $$$$? Big boy levels
0 Reactions
0 Replies
1K Views
According to bloomberg report that was released yesterday, Africa's richest man and founder of DANGOTE GROUP, ALIKO DANGOTE, made $9.2 billion in 2013 alone, raising his fortune to over $30...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Imebainika kuwa kuvunjika kwa uchumba baina ya Naseeb Abdull 'Diamond' na Penieli Mwigila kumechangiwa na kigogo mmoja wa CCM ambaye amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Penny! Swahilitz...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Kuna Wasanii nimekaa chini na kufikiri labda wanakosa Management nzuri ndio maana labda hawa'shine sasa. Ila ni Wazuri kiukweli,wanaweza ,wanajua nk. Wasanii wa Bongo wengi bila Management...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Huyu ndio mbunge wa jimbo la Namtumbo na ufuatao ndio wasifu wake kwa mujibu wa tovuti ya Bunge Kazaliwa Mwaka 1964 Elimu yake ni kama ifuatavyo Shule ya msingi Turian:1972-78 Sekondari...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
Miley Cyrus Video: Wrecking Ball Miley Cyrus - Wrecking Ball - YouTube Pink Video: So What P!nk - So What - YouTube Rihanna Video: Stay Rihanna - Stay ft. Mikky Ekko - YouTube...
4 Reactions
15 Replies
9K Views
Kuna miziki imeigia sikuiz sijui inajitaje napo isikiaga sehemu huwa na vurugwa sana lakini saivi ndonashanga imekua pendwa sana mpaka kwenye ma dcm boda boda wanaipenda sanq kilichoimbwa ni cjui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msani wa mziki wa kizazi kimya yani bongoflava top c juzi usiku kwenye mkesha wa mwaka mpyaalikamatwa na kuweka mahabusu na polisi wilayani mbulu kwa kosa la kulewa paka kushindwa kujitambua na...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Industry ya Bongo imechafuka!!! Kila siku haipiti kabla hujaskia maovu yanayofanywa na mastaa wa kibongo. Maunda Zollo ameamua kujiuza kwa tandao baada ya picha zake za utupu kuvuja kwa...
0 Reactions
17 Replies
47K Views
Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini China (Jack Clief) , Msanii Linex ambaye amefanya video ya wimbo wake wa Kimugina na msichana huyu ameamua...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Monday, July 15, 2013 MTANDAO wa wauza madawa ya kulevya unazidi kupukutika Bongo kufuatia madai ya kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujishughulisha na ubebaji &#8216;punda' wa biashara hiyo haramu...
0 Reactions
37 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…