Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari! Mimi hili suala la kifo cha 2pac linanichanganya sana, mbona halipo wazi kama vifo vya kina michael jackson, withney houstone, bob marley na wengine? Kuna mtu yeyote mwenye taarifa za...
0 Reactions
8 Replies
13K Views
wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Hitmaker wa Pesa, Mr Blue aka Kabayser amesema tangu awe baba, maisha yake yamebadilika na haishi kama zamani tena“Nafikiri kwa mimi imenikuza zaidi,” Blue aliiambia tovutui hii. Mr Blue na...
0 Reactions
13 Replies
14K Views
MLIMBWENDE mtata Bongo, Jacqueline Patrick, kama kawa, amedondosha picha nyingine chafu kwenye ‘peji’ yake ya mtandao wa BBM, Risasi Jumamosi lina ‘fulu’ data. Jack ambaye ni mke wa...
0 Reactions
18 Replies
20K Views
Huyu mtoto,aliletwa kwa Diamond baada ya show akiwa nq majeraha usoni aliyoyapata wakati akijaribu kupata nafasi ya kumwona HAPA AKIMFARIJI AKIMPATIA PESA YA POLE Diamond..hii ilisababishwa...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
This billboard was put up in India, aimed at paying tribute to Nelson Mandela, flopped when passersby noted that it used a photo of actor Morgan Freeman instead of the late South African...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Heroin drug packer arrested in Macao Updated: 2013-12-20 16:11 (chinadaily.com.cn) A 28-year-old woman from Tanzania was arrested on a charge of drug possession in Macao, Dec 19, 2013. She hid...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Ni funga mwaka! Mastaa wa Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Recho Haule, Belina Mgeni na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ wamejikuta wakiumalizia mwaka 2013 wakiwa ‘vitumbo ndii’ licha ya kuwa bado...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Talented Ugandan singer, Davis, weathered the storm and clinched the Tusker Project Four season title amidst tight competition from his fellow contestants. After clinching the title, he was...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Staa machachari Miley Cyrus haipiti wiki kabla hajaonyesha vituko kwa mtandao. Katika backstage baada ya kupiga shoo, kuna video ya Instagram ambayo ilipigwa ikimuonyesha Miley Cyrus akiyapiga...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
"If I had kids, my kids would hate me. They would have ended up on the equivalent of the Oprah show talking about me; because something in my life would have had to suffer and it would've probably...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii inatokana na tabia zao ambazo ni binafsi naita ni ushamba,ujinga,kutokujitambua Haiwezekani msanii mkubwa kama ALLY KIBA ANasema yeye collabo na diamond na ommy dimpoz ni kama kudeki bahari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This is Jokate.....!!...Tanzanian famous presenter, Mc, actress, fashion designer and entrepreneur.
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Wana jf kwanza nawapeni salamu. Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Salaam..najua wengi mmenimiss tu..hata wale wanaopretend kunichukia..naiman wamenimiss pia .nilikua kimya kutokana na kipindi hiki kuwa buzy kutokana na kuongezeka kwa majukumu... tuendelee na...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Mother of two Mariah Carey says she's done having kids and if her husband Nick Cannon wants more children, he will have to get pregnant and have the babies himself. During an appearance on...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kweli Mwanadada kaamua kupunguza mwili ...Huo msamba dahhhhhhh
1 Reactions
42 Replies
30K Views
Juzi kati Diamond alimfanyia party ya kufa mtu dada mmoja ivi anafahamika kwa jina la kimwana mwanywele kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, hawa watu sijui wana mahusiano gani, maana nilisikiaga kwa...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Back
Top Bottom