Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nimetumiwa hii audio clip (acapella) kwa whatsapp, nimecheka nimeona nifanye sharing.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Muziki na sanaa ni ubunifu na wala si kujua kuimba tu!. Wiki iliyopita nilimnukuu mzalishaji mkongwe wa muziki hapa nchini Master J akisema idadi kubwa ya wasanii hapa bongo wanafanikiwa si kwa...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Msanii maarufu kwenye tasnia ya muziki kwa sasa DIAMOND alilipwa tsh 10,000/- tuu katika FIESTA 2009 ambapo alifanya show Kali iliokubalika na wadau wa muziki Tanzania. Hayo amebainisha mwenyewe...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Ni zaidi ya mwaka mmoja umepita toka kufariki kwa mwigizaji staa wa Tanzania Steven Kanumba, ambae aliacha kampuni ya kutengeneza filamu aliyokua akiimiliki pamoja na mali nyingine yakiwemo...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Salaam wakuu, kama wewe ni mmoja wapo wa wapenzi wa masebene basi ni lazima utakubaliana na mimi kwamba hii kitu ni kali sana. Hizo nyuzi zinavyoguswa humo na kinanda ni balaa sana....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ngoma inaitwa Scary movies, sikiliza halafu uniambie....
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Huenda ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata mafanikio kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never know! Staa huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Huyu mwandishi wa jambo na vijambo comedy ya EATV amefanya kazi kubwa sana kuandaa comedy ya namna hii. Hii ni comedy yenye ubunifu mkubwa sana kama mtu akijaribu kufatilia. Tofauti na commedy...
3 Reactions
3 Replies
42K Views
this young man can really rap. Since day one i saw him in The X-factor US i knew he had it. Check it here when he freestyles on sway's world:Astro Freestyles Over the 5 Fingers of Death on Sway in...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Swahibaz Mpooo?. Haya ,list yangu ya movies bora za kukupa burudani kwa uzalendo hii hapa.. 1.Fikra Zangu. Ni moja kati ya movies za kibongo ambazo SITACHOKA kutazama ingawa kuna makosa ya...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
nimekuwa mdau na mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya tangu kupevuka lakini katika msanii ambaye kawapiga bao wengi kwa ubunifu huyu sio mwingine ni diamond kiasi kwamba anawafanya chipukizi wote...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
PICHA 7 ZA GIRLFRIEND MPYA WA PREZZO KUTOKA TANZANIA-CHAGGA BARBIE There has been a lot of drama surrounding Prezzo and his beautiful Tanzanian Lady known by her IG name Chagga Barbie.Tweefs...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Dj maarufu Rankeem amefariki dunia hii leo katika hospital ya mwananyamala radio one. Innalilah rajuun ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu alikuwa akikimbizwa...
0 Reactions
80 Replies
15K Views
Hata kama sio shabiki wa diamond ila kuna kitu lazima uwe kinakuvutia kutoka kwake.Unaweza kujitahidi kumchukia labda kutokana na skendo zake za nje ya muziki wake ila ukirudi kwenye muziki...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
habari zenu wa jukwaa!! bila kusita, naomba nitoe request kwa mzee wa sukari ya warembo, the platinumz, the number one of beatifullz afanye hili! diamond, dini yetu inaruhusu kabisa kuwa na wake...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hawaa vijana mi huwa nikiwaangaliaga namaswali swali yao yale ambayo hayana mantik yeyote huwa nachoka kweli ndipo naona usijione ufahari kujichoresha kwenye matv wakati, kichwani hakuna kitu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakati watanzania wengi wakisubiri taarifa kutoka kwa ufoo saro juu ya mkasa ulioikumba familia yake, na kumpoteza my number one wake pamoja na bi mdanga wake bi anastazia saro,bi shosti huyo...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Nadia Buari and Jim Iyke’s relationship has gone through many ups and downs and the latest is about Nadia deleting all pictures from her instagram page which involved Jim Iyke. Well, she has her...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom