Muziki na sanaa ni ubunifu na wala si kujua kuimba tu!. Wiki iliyopita nilimnukuu mzalishaji mkongwe wa muziki hapa nchini Master J akisema idadi kubwa ya wasanii hapa bongo wanafanikiwa si kwa...
Msanii maarufu kwenye tasnia ya muziki kwa sasa DIAMOND alilipwa tsh 10,000/- tuu katika FIESTA 2009 ambapo alifanya show Kali iliokubalika na wadau wa muziki Tanzania. Hayo amebainisha mwenyewe...
Ni zaidi ya mwaka mmoja umepita toka kufariki kwa mwigizaji staa wa Tanzania Steven Kanumba, ambae aliacha kampuni ya kutengeneza filamu aliyokua akiimiliki pamoja na mali nyingine yakiwemo...
Salaam wakuu,
kama wewe ni mmoja wapo wa wapenzi wa masebene basi ni lazima utakubaliana na mimi kwamba hii kitu ni kali sana. Hizo nyuzi zinavyoguswa humo na kinanda ni balaa sana....
Huenda ile story ya kwamba
Diamond amepata na anaendelea
kupata mafanikio kutokana na
kutumia waganga wa kienyeji si
kweli!! You never know! Staa huyu
ambaye gazeti la Daily Nation
limemtaja...
Huyu mwandishi wa jambo na vijambo comedy ya EATV amefanya kazi kubwa sana kuandaa comedy ya namna hii.
Hii ni comedy yenye ubunifu mkubwa sana kama mtu akijaribu kufatilia. Tofauti na commedy...
this young man can really rap. Since day one i saw him in The X-factor US i knew he had it. Check it here when he freestyles on sway's world:Astro Freestyles Over the 5 Fingers of Death on Sway in...
Swahibaz Mpooo?.
Haya ,list yangu ya movies bora za kukupa burudani kwa uzalendo hii hapa..
1.Fikra Zangu.
Ni moja kati ya movies za kibongo ambazo SITACHOKA kutazama ingawa kuna makosa ya...
nimekuwa mdau na mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya tangu kupevuka lakini katika msanii ambaye kawapiga bao wengi kwa ubunifu huyu sio mwingine ni diamond kiasi kwamba anawafanya chipukizi wote...
PICHA 7 ZA GIRLFRIEND MPYA WA
PREZZO KUTOKA TANZANIA-CHAGGA BARBIE
There has been a lot of drama surrounding Prezzo and
his beautiful Tanzanian Lady known by her IG name Chagga Barbie.Tweefs...
Dj maarufu Rankeem amefariki dunia hii leo katika hospital ya mwananyamala radio one.
Innalilah rajuun
ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu
alikuwa akikimbizwa...
Hata kama sio shabiki wa diamond ila
kuna kitu lazima uwe kinakuvutia
kutoka kwake.Unaweza kujitahidi
kumchukia labda kutokana na skendo
zake za nje ya muziki wake ila ukirudi
kwenye muziki...
habari zenu wa jukwaa!!
bila kusita, naomba nitoe request kwa mzee wa sukari ya warembo, the platinumz, the number one of beatifullz afanye hili!
diamond, dini yetu inaruhusu kabisa kuwa na wake...
Hawaa vijana mi huwa nikiwaangaliaga namaswali swali yao yale ambayo hayana mantik yeyote huwa nachoka kweli ndipo naona usijione ufahari kujichoresha kwenye matv wakati, kichwani hakuna kitu...
Wakati watanzania wengi wakisubiri taarifa kutoka kwa ufoo saro juu ya mkasa ulioikumba familia yake, na kumpoteza my number one wake pamoja na bi mdanga wake bi anastazia saro,bi shosti huyo...
Nadia Buari and Jim Iykes relationship has gone through many ups and downs and the latest is about Nadia deleting all pictures from her instagram page which involved Jim Iyke. Well, she has her...