Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. Listi...
Nikiwa kama mpenzi wa burudani , hasa muziki wa dansi nimejisikia vibaya baaada ya kumuona huyu mzee leo chanel Ten, akiomba msaada wa watanzania kumchangia chochote kwa tamasha ambalo litafanyika...
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria...
Kama haukupata hii Jide a.k.a Komando aliamua kurudi studio kufanya vidio ya Yahayakwa mara ya Pili baada ya kuona vidoti usoni ambavyo hakuvipenda na hivyo kutafuta mtaalam wa masuala ya Urembo...
Kwanza ni kupongeze kwa kuanzisha project ya kufufua na kuibua vipaji vya vijana hasa walio kosa fursa.
Na BSS(bongo star search) ilipofikia lazima tukupe pongezi kwa jitihada mahususi maana...
Alipozungumza na Zembwela wa East Africa Radio katika kipindi cha Super Mix, Mwanadada na mwanaharakati wa haki za wanawake anayetumia kipindi cha runinga almaarufu WANAWAKE LIVE,
Bi.Joyce Kiria...
wandugu kuna kabinti kameimba nyimbo moja hivi na juliana yule wa uganda. kama umewahi ona video yake wako wawili na juliana..wimbo unaitwa "mpita njia" mimi nimemzimia jaman mwenye email yake au...
HIKI kipindi kimekuwa kikiwakandia sana wanaume kitu ambacho kimekuwa kikichochea sana kiburi/chuki kwa baadhi ya wanawake, kila ukikisikiliza ni wanaume wanafanya hiki mara kile mara sijui nini...
1. Bentley Continental GTC
It is an intelligent and well equipped vehicle with a 6.0 litre twin-turbocharged W12 engine, which accelerates the car from 0 to 100 kilometres per hour (0 to 62.1...
.
Monday, 12 August 2013 13:08 , Written by Sue Watiri (Writer)
[*=center]
If you were at Diamond's Mombasa concert you probably saw the drama that ensued after Diamond delayed his...
Huyu ni member wa zamani wa kundi linalofanya vizuri kwa muziki wa pop east africa namaanisha nazungumzia Camp mulla,lakini hapa namzungumzia Karun member aliyejitoa kwenye kundi ilo yapata...
Ni baada ya Chid benz kukiri hadharani kuwa anatumia madawa hayo(cocain & heroen) na kukubali kuwa alishawahi kuvuta na LANGA na MANGWAIR,
anasema chanzo ni ulevi wa pombe kali na bange...
Wandugu mama matalent kuna wakati nilikuwa naona picha zake kwenye blog mbalimbali akiwa na magongo na pole nyingi lakini nikawa sijajua kilichomsibu je kuna yoyote anayejua kilichomsibu mamaa...
Hawa mastaa wawili kila mmoja alivyoondoka duniani ametuacha na 'Song' linalobamba vichwa vya watanzania wengi;-
Kanumba alituacha na mijadala ya Freemason ambayo kila kona ya Tz ilikuwa...
Aliyekua Mshiriki wa Big Brother Africa na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka Tanzania Feza Kessy baada yakutolewa kwenye shindano hilo kwenye kipindi cha moja kwa moja juma pili iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.