Baada ya tetesi kuvuma kama moto wa kifuu kuhusu ishu ya Agnes Gelard,maarufu kama Agnes Masogange kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Africa Kusini,yeye mwenyewe kaibuka kwenye mtandao wa...
WARAKA WA BABU MSEMA OVYO (C.T.U)
Ewe ndugu yangu mzee wa BAMAGA kwaza pole sana kwa swaumu mwezi huu mtukufu wa ramadhani swaumu hii kali kweli kweli kwani mie midomo hapa imenikauka japokuwa...
July 28, 2013
After tonight's Evictions that saw Annabel and Sulu being given the boot, Big Brother then gathered all of the Housemates in the living room.
Today Big Brother reproached Nando for...
Mwakilishi toka Tanzania kwenye shindano la big brother afrika,Nando jana usiku alikuwa kwenye ugomvi mkali na
mshiriki toka ghana elikem,niliukuta katikati sijajua chanzo lakini nimeyasikia...
WANAWAKE wengi nchini wameshika vyeo mbalimbali vya juu serikali au kwenye taasisi binafsi. Wafuatao ni wanawake 10 ambao wanakalia au wamekalia vyeo hivyo hapa nchini kama walivyomulikwa na C.T.U...
Wakuu si mara ya kwanza kuweka wazi hili,naomba nirudie tena kusema kuwa Wema nampenda,kwani nimekuwa nikimtumia ujumbe kwenye akaunt yake ya facebook na baruapepe yake bila mafanikio(bila majibu)...
Juzi kipitia jukwaa la siasa nilianzisha mada kuwa Lowassa baada ya kumaliza misikitini na makanisani sasa amehamia kwa wanamuziki hii ilitokana na nyimbo za Kala Jeremia azimio la Arusha na...
Wakuu nimechajirbu kuchek google bt sijafanikiwa au may b search yangu haikuwa correct. Kwa mwenye kuwafaham kwa majina watayarishaj wa beats wa Studio ya Atlantic Records ya Marekani.
Jamaa...
Jana katika ukurasa wake wa twitter rapper Prezoo wa Kenya alitoa picha kutoka kwenye gazeti la hapa nchini zikiwaonesha yeye na diamond,ambapo ndani ya gazeti ilo kulikua na maneno ya diamond...
Msanii wa Kizazi Kipya kwa mujibu wa post za facebook inasemekana amekutwa hotelini anechafuka akidhaniwa kunyweshwa vitu vinavyosadikika ni madawa na kufanyiwa ukatili amewaishwa hosptal. Nwenye...
KALAPINA WA KIKOSI CHA MIZINGA ALIANDIKA KWENYE MTANDAO WAKE WA FACEBOOK MANENO HAYA
mtoto kimbunga amechamba ana leta usela mavi mambo ya kizamani hivi yupo chini ya ulinzi osterbay police kwa...
wadau wengi wamekuwa wakiwalalamikia wasanii wetu hasa kwenye social networks kama Jamii forums, Fb, Tweeter e.t.c, wamekuwa wavivu kujitokeza, na hata wakijitokeza huanzisha mada na kukaa kimya...
Mwimbaji Linah Sanga amesema habari zinazoenezwa kwamba amebakwa baada ya kulewa sio za kweli kwasababu anasiku ya tatu Ajatoka Nyumbani.
Source: Millardayo.com
Rapper toka Kenya Jackson Makini aka CMB Prezzo wiki ijayo atakutana tena kwa mara ya pili na Jay Z mkali wa Magna Carta Holy Grail kutoka Brooklyn Marekani ng'ambo ukiwa Manhattan city center ya...
Hawa jamaa nawakubali sana,wanatoa messages za ukweli na wanaburudisha pia.Mwenye namba zao za simu naomba! Au kama aliye na namba ya simu ya mmojawapo naomba
Ameenda jioni ya leo nchini afrika kusini kushoot video ya wimbo wake mpya ambao haujatoka bado.
KWA FANS WA KWELI WA DIAMOND JUST WAIT KWA KAZI NZURI INAYOPIKWA KUANZIA KESHO NA HATERS MNAOTAKA...
Nimemsikilza Joh Makini katka interviews zake mara nying. Ni zaidi ya mara 3 anatamka kuwa Producers wakubwa huko USA wanampgia simu wanataka kufanya kazi na yeye baada ya kusikiliza nyimbo zake...