Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamani huyu dada nampenda sana,her fantastic music,swagg but not how she behave.After she posted her pics on inst. i was like thanx God she is back,aliacha mashabiki wengi mno welcome...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtanzania anaye kipiga huko ughaibuni@Hasheem Thabeet anazidi kupaa baada ya kuiwezesha timu kupata ushindi maridhawa safi sana Thabeet
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo ilikuwa zamu ya DJ kutoka Tanzania kuwaburudisha washiriki wa shindano la Big Brother Africa. Kwa kawaida Multichoice huwa wanaaalika maDJ kutoka nchi wa shiriki kila jumamosi saa 5 mpaka...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Kuna kila dalili kuwa sasa wamiliki wa vyuma(bastola) mjini wamekuwa wengi,ikitokea kutoelewana kidogo kati ya mtu na mtu iwe ni bar,kwenye foleni,club nk,chuma kinatolewa na mara nyingine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mtayarishaji na mmiliki wa kampuni ya visual lab Adam Juma ameamua kuachana na kutengeneza video za kibongo na kwa sasa amesema atajikita zaidi na NGO moja ambayo ata hivyo akuitaja. Source...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Nashukuru kwa kupata hii award ya frequent poster, kwakweli sikujua kuna tuzo kama hii ila nilikuwa natuma tu posts zangu kwa lengo la kuchangia kama wadau wengine. Nashukuruni uongozi wa JF na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Habari zilizothibitishwa na Juma Nature mwenyewe na pia katka blog ya Sintah mpenz wa Nature wa zamani ni kuwa mwanamuziki na msanii wa maigzo Baby Joseph Madaha ni mwezi sasa anapika na kupakua...
0 Reactions
29 Replies
12K Views
baada ya langa kusanuka na kuamua kutemana na mambo ya madawa,ma heroin,cocaine na marijuana,leo katika pitapita yangu mitaa ya kinondon hospital nikamegewa pande kua vijana wa bongo fleva...
1 Reactions
68 Replies
15K Views
Album ya Chiwoniso kwa jina 'Ancient Voices' ilimpa sifa tele katika ukumbi wa kimataifa mapema miaka ya 1990. Alicheza ala ya muziki ijulikanayo kama Mbira, ambayo wanaume...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fans wa kweli wa Diamond calm down n wait na haters hakuna haja ya kutukana,tulieni mwone mtoto wa Jakaya anavyotangaza vyema jina letu kimataifa.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
unakuta m2 ana kipaji ila yupo 2 mtaani je ni nini kina wakwamisha.kama ni kutoka ushajaribu na wapi pamekushinda.tuzungumzie hili tatizo jamani?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati nikiwa tz,miaka ya nyuma kidogo nilikuwa mpenzi sana wa kusikiliza vipindi vya burudani na habari,na kwa mkoa niliokuwa ikikuwa rahisi na facta kuipata TBC fm hewani.pamoja na vipindi...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Nani unamkubali au unadhani nani anajua zaidi?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wadau poleni na majukumu ya hapa na pale katika kupambana na maisha ili kuweza kujipatia kipato. Wakati taifa likiwa limeingia uhasama kati ya wanchi na majeshi ya ulinzi, zimenifikia taarifa...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Mshiriki wa TZ Nando,inaonekana uzalendo umemshinda baada ta camera za BBA kumfuma akigegedana na mshiriki mwenzie Selly kutoka Ghana usiku... Siku ya 27 jamaa kaamua kujimegea kisela kuwatch it...
1 Reactions
123 Replies
17K Views
Hakuna aliekamilika binafsi namkubali sana huyu msanii kwa kua imara kwenye misimamo yake,kutoonesha uoga uoga,lakini zaidi ni kupenda kwake kuzungumza ukweli!sikiliza moja ya nyimbo za kikosi cha...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako. Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Mange Kimambi kasema hivi kuhusu Sintah. ''Wadada wa mujini bwana kwa mashindano ya kijinga. Mtu unakwenda kuchukua mkopo Access bank ufungue kaduka wakati hujui hata utaulipaje eti kisa Mange...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Msanii alikua maarufu kwa maigizo mwanzoni mwa miaka ya 2000 anaefahamika kwa jina la MR.BOMBA afariki dunia.. Igizo alowahi kuigiza na kutamba vilivyo ni MAMBO HAYO.. R.I.P
0 Reactions
19 Replies
7K Views
habari wana JF. Kuna taarifa isiyo rasmi ya star wa bongo movie,ms Wema Seputu,kuwekwa lockup ktk kituo cha police kawe kwa kosa la kumpiga manager wa mediteranian hotel iliyoko kawe beach wiki...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom