Jamani huyu dada nampenda sana,her fantastic music,swagg but not how she behave.After she posted her pics on inst. i was like thanx God she is back,aliacha mashabiki wengi mno welcome...
Leo ilikuwa zamu ya DJ kutoka Tanzania kuwaburudisha washiriki wa shindano la Big Brother Africa. Kwa kawaida Multichoice huwa wanaaalika maDJ kutoka nchi wa
shiriki kila jumamosi saa 5 mpaka...
Kuna kila dalili kuwa sasa wamiliki wa vyuma(bastola) mjini wamekuwa wengi,ikitokea kutoelewana kidogo kati ya mtu na mtu iwe ni bar,kwenye foleni,club nk,chuma kinatolewa na mara nyingine...
mtayarishaji na mmiliki wa kampuni ya visual lab Adam Juma ameamua kuachana na kutengeneza video za kibongo na kwa sasa amesema atajikita zaidi na NGO moja ambayo ata hivyo akuitaja.
Source...
Nashukuru kwa kupata hii award ya frequent poster, kwakweli sikujua kuna tuzo kama hii ila nilikuwa natuma tu posts zangu kwa lengo la kuchangia kama wadau wengine. Nashukuruni uongozi wa JF na...
Habari zilizothibitishwa na Juma Nature mwenyewe na pia katka blog ya Sintah mpenz wa Nature wa zamani ni kuwa mwanamuziki na msanii wa maigzo Baby Joseph Madaha ni mwezi sasa anapika na kupakua...
baada ya langa kusanuka na kuamua kutemana na mambo ya madawa,ma heroin,cocaine na marijuana,leo katika pitapita yangu mitaa ya kinondon hospital nikamegewa pande kua vijana wa bongo fleva...
Album ya Chiwoniso kwa jina 'Ancient Voices' ilimpa sifa tele katika ukumbi wa kimataifa mapema miaka ya 1990.
Alicheza ala ya muziki ijulikanayo kama Mbira, ambayo wanaume...
Wakati nikiwa tz,miaka ya nyuma kidogo nilikuwa mpenzi sana wa kusikiliza vipindi vya burudani na habari,na kwa mkoa niliokuwa ikikuwa rahisi na facta kuipata TBC fm hewani.pamoja na vipindi...
Wadau poleni na majukumu ya hapa na pale katika kupambana na maisha ili kuweza kujipatia kipato. Wakati taifa likiwa limeingia uhasama kati ya wanchi na majeshi ya ulinzi, zimenifikia taarifa...
Mshiriki wa TZ Nando,inaonekana uzalendo umemshinda baada ta camera za BBA kumfuma akigegedana na mshiriki mwenzie Selly kutoka Ghana usiku... Siku ya 27 jamaa kaamua kujimegea kisela
kuwatch it...
Hakuna aliekamilika binafsi namkubali sana huyu msanii kwa kua imara kwenye misimamo yake,kutoonesha uoga uoga,lakini zaidi ni kupenda kwake kuzungumza ukweli!sikiliza moja ya nyimbo za kikosi cha...
Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.
Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview...
Mange Kimambi kasema hivi kuhusu Sintah.
''Wadada wa mujini bwana kwa mashindano ya kijinga. Mtu unakwenda kuchukua mkopo Access bank ufungue kaduka wakati hujui hata utaulipaje eti kisa Mange...
Msanii alikua maarufu kwa maigizo mwanzoni mwa miaka ya 2000 anaefahamika kwa jina la MR.BOMBA afariki dunia..
Igizo alowahi kuigiza na kutamba vilivyo ni MAMBO HAYO..
R.I.P
habari wana JF.
Kuna taarifa isiyo rasmi ya star wa bongo movie,ms Wema Seputu,kuwekwa lockup ktk kituo cha police kawe kwa kosa la kumpiga manager wa mediteranian hotel iliyoko kawe beach wiki...