Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!.
Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo...
Filamu ya katuni (uhuishaji) ya Kichina "Nezha 2", ambayo ni muendelezo wa "Nezha 1: Kuzaliwa kwa Mtoto wa Shetani" hivi karibuni imefuatiliwa sana kote duniani. Baada ya kuingia kwenye nafasi ya...
Kwa upande wangu mimi muvi za animation nilizokubali kuna:
1. How to Train ze Dragon
2. The Monsters
3. The Croods
4. Aladdin.
Mimi nimeanza na hizo na wewe kama mdau wa animation ongezea basi...
Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts 💭 ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano...
https://youtu.be/e2PsmMlSP5s?si=9kcGRMlCdNEIXk6A
Asantee sana kwa kutupa album kalii ya hurry up tomorrow hapa tunasubiria movie yetu sasa ya hurry up tomorrow happy birthday Ethiopia finest...
Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.
Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Kwa mujibu wa RAP CAVIAR na Spotify hizi ndio ngoma 50 zenye Beats kali kuwahi kufanywa.
Una maoni gani hapa?
1. Still Dre - Dr. Dre & Snoop Dogg
2. Shook Ones Pt. II - Mobb Deep
3. Grindin' -...
Acha tamaa mwangu yo
Amenikanya Mama alienizaa
Jichuuunge yeye amesema yeye yeyee
Tukitafuta pesa eti tutaigaaa tabia mbaya
Hakuna aliezaliwa ni mwizi
Saviè Kandoro Papa
Hakuna aliezaliwa ni...
Christopher Nolan’s Odyssey film will cast Kenya’s Lupita Nyong’o as Athena, leaving fans puzzled.
Athena is the Greek goddess of wisdom, war, and oil. She is also the patron goddess of heroic...
Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa S01 Episodi 01
*********
Ni Alfajiri hapa Mwiki,Kasarani jijini Nairobi. Alfajiri hii ni kama zile alfajiri nyingine nyingi za mwaka. Alfajiri hii...
Mimi naanza na zangu hapa
1. All night long ya lionel Richie
2. La isla Bonita ya Madonna
3. Nightshift ya the commodores
4. Joe le taxi ya vanessa paradis
5. Save the best for last ya vanessa...