Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Are you a Mwana FA fan what is your favorite song? Mine is 'lakini alikufa kwa ngoma'
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Naomba kuuliza kati ya mpira wa miguu na muziki, ni kipi chenye mashabiki wengi, ni vizur ukiweka na sababu ya kusema hivyo. Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
50 Replies
11K Views
Habari wanaJF Mimi ni actor chipukizi wa bongo action movie na kutokana na sanaa kushuka nimeona tuje kivingine tena kutokana pia na movie kukosa ubunifu na kila siku movie za mapenzi na uchawi...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Enter the fat dragon (donnie yen) Mortal kombat 2021 rate 7/10 The little thing (David Washingtong) 8/10 The marksman (liam nelson huyu mzee kiboko alohoo ) rate 9/10. Black widow rare 7/10 Out...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ushawahi kuangalia series ya kikorea alafu ndani yake ukaona brands mbalimbali kama Subway, Samsung, KIA au hata Lipstick? Usichanganye, sio kwamba ni bahati mbaya La hasha! ile ni makusudi na ni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikiliza hip hop zooote Tanzania,hakuna rap kali kama hii ngoma ya Fr Nelly. Huwa naiskiza mara moja kwa wiki kuitoa kasoro bado sijafanikiwa huu mwaka wa 3.
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu na yule Huyu faida yule bure Huyu na yule Ee hee ee hee ee hee ee hee Huyu na yule Huyu faida yule bure Huyu na yule Ee hee ee hee ee hee ee hee Mmoja anaingia mmoja anatoka Huyu kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wimbo wa Binadamu Ndanda Kosovo. anaimba sasa wanaanza kulia ooh nuhu,,ooh nuhu tufungulie safina Wimbo wa marafiki - nadhani ameimba mao santiago - anasema marafiki wote wamenikimbia mimi upendo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
VERSE 1: Mangwea Mami nakuona umekula pozi, Mbona unaonesha kama umejawa na majonzi, Nieleze kipi hasa kinachokuumiza kichwa, Mtoto mwenye uzuri kama hazina iliyofichwa, Mwenye raha zote fedha...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
DEMETRIUS PONERA NI MOJA KATI YA VICHWA NAVOVIELEWA SANA KTK GAME HI YA HIPHOP...NA HUEZ AMIN NIMEMFAHAM KUPITIA TRACK 1 YA #matrix mkono wa duke nadhan... UNAEZA PITIA KAZI ZAKE UKAKUBALIANA NA MIMI
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Najua wengi mtakuwa mnaijua series hii hivi ni vitu 10 usivyovijua kuhusu series hii : 1. Kulingana na IMDB series hiyo ilitengenezwa kwa budget ya taktibani Won Bil 30 ambazo ni takribani Bil 60...
6 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu, Katika tasnia ya filamu binafsi ni mpenzi wa movie za kivita kimombo wanaita WAR MOVIES na hizi ni baadhi ya movie zangu TANO kali za kivita. 1- Lone survivor 2- Windtalkers by...
10 Reactions
167 Replies
27K Views
Wasalaam Njoo, sema unamfaham vipi?
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Huyu msanii wa nyimbo za injili sikuwahi kumfahamu.....lakini kutokana na mazoea nowdays kutune Praise Power FM kila asubuhi mwendesha kipindi kwa siku za karibuni amekuwa akipiga nyimbo moja kali...
3 Reactions
47 Replies
21K Views
Simulizi : NOTI BANDIA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na : BURE SERIES SEHEMU YA 1 JIJI la Dar es Salaam linatingishika, wezi sugu wanaingiza noti bandia, watu wanaibiwa. Baadhi...
9 Reactions
129 Replies
24K Views
Hello there....👋👋 Hua napenda nikikutana na series au muvi nzuri nishee nanyi “wakulungwa” wapenda motion pictures maana sharing is caring, I scare because I care. Hua napenda series na muvi...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Kabla ya kufanya research kama kuna kitu kilikuwa kinanichanganya wakati naangalia series za Korea ni hizi kingdoms. Unakuta series hii wameigiza kipindi cha GORYEO , nyingine...
4 Reactions
16 Replies
6K Views
Kimeandikwa na: H.G.Wells, 1904 Kimetafsiriwa na: Pictuss Email: Pictuspublishers@gmail.com. Pictuss2021. Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu yoyote ya tafsiri hii inayoweza kunakiliwa...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Nezha Reborn ni animation hiii imetulia sana ina mkono sijapata ona kama uliona nezha part 1 basi hii si yakukosa
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Back
Top Bottom