Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mangudu Digi... Dark Master Ngwair! Cowboys in the House! Maseeeela, {Maheeela} Cowboys in the House! Maseeeela, {Maheeela} C'mon, Cowboys in the... Maseeela! Nipeni, nipeni dili masela, Nipeni...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Naulizia tu, Mana sioni kiukweli kabisa, na siongelei views hapa
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Hawa watunzi wa Nyimbo za ToT wabadilike Kuendana na Wakati Wa Sasa, Nyimbo Gani Kama Za Miaka ya 1980. Khaaah!
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Kuna huu wimbo wa Jay Helody-huba hulu. Sound yake nakuwa sielewi elewi, kila nikijaribu kuuweka naona unatoa sound ya ajabu, najaribu ku-equalizer lakin bado sound inayotoka haisound poa. Sasa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani huyu mtu wasanii wakongwe kwenye game nasikia wanamtaja sana, mfano kina Joh Makini, RIP Ngwea. Kwa mwenye kujua huyu mtu alikua ni nani, anafanya nini, na kwa sasa yuko wapi naomba mnijuze...
1 Reactions
34 Replies
13K Views
Mie nitamkumbuka kwa ngoma yake ya 'Ghetto Langu', hii ngoma Ngwea kabla ajaipeleka radio enzi hizo nilikuwa mmoja kati ya watu wa kwanza kabisa kuisikiliza sikuamini kama ingekuwa kubwa kama...
4 Reactions
152 Replies
54K Views
Jaman mwenye huo wimbo naomba anisaidie please
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Wale wapenzi wa ngoma za Dini kuna hii ngoma inaitwa EKUEME, Ekueme ni neno la ki-Igbo huko Nigeria likimaanisha Mungu anayeahidi, anayesema na kutenda ni spirit song nzuri sana ukipata na video...
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane. Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Inafahamika kama Nunchaku. Wengine wa mtaani wanaiita Cheni (kila mmoja uipachika jina lake kwa namna yake). Tupeane experience na mbinu mbili tatu. Uliijulia wapi na ulijifunzia/Fundishwa wapi...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Simulizi : ZAWADI TOKA IKULU Mwandishi : EMMANUEL VENANCE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Sehemu ya 1 Ni jumapili tulivu sana ambayo imejidhihilisha tangu jua linachoza, kwani hakukuwa hata na...
2 Reactions
101 Replies
15K Views
chinese vs japanise
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Wale waliokuwepo kipindi hiki au wanaopenda kusikikiliza aina ya miziki ya 60's, 70's, 80's na 90's basi huu ndiyo uzi wenu maalumu. Miziki ya aina hii huwa inanikumbusha miaka ya utoto wangu...
10 Reactions
451 Replies
27K Views
Habari za muda huu wanajamvi, ni muda sana nimeitazama movie hii ya tabia kama kichwa cha thread kinavyosema. Nimepata changamoto katika kudownlod kwani youtube haipo kama kuna msaada niweze kuipata.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI WA KUU NIMEIPATA HII TAARIFA JUUJUU TU WANADAI ETI WAMETOA USHURU WA ONLINE TV KWA WANAO UPLOAD CONTENTS TOFAUT NA HABARI.LINAUKWEL WOWOTE HILI SWALA MWENY DETAILS KMA ANIJUZE MNA NTKA...
0 Reactions
4 Replies
482 Views
Hivi kuna burudani zaidi ya hii kwenye muziki? Halafu mtu atashangaa kwanini sipendi hizi takataka za Dabliyusibii! Af anatokea kenge mmoja anasema sikuhizi kuna mziki? Noorah was a pure talent...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Najua maisha yetu yamejaa moment nyingi za stress..kuna wakati kwenye siku yako unahitaji utulivu sana. Najua tupo wengi ambao tunatumia nyimbo kujifariji. Tupa nyimbo zako tatu kali ambazo...
2 Reactions
93 Replies
14K Views
Leo nilikuwa zangu Gheto nimepumzika nikaona bora nipige playlist zangu mbili tatu za kitambo nikumbuke Enzi Aiseee kama bahati hivi nikajikuta nimeitupia ngoma ya Ngwair na Mchizi Mox ya kuitwa...
10 Reactions
53 Replies
8K Views
Bruno The Fisherman (Mvuvi Bruno) Mtunzi. Nyemo Chilongo Epsod 1 Hali ya hewa angani ilibadilika ghafla, jua kali lililokuwa likiwaka lilifunikwa na mawingu mazito ya kijivu yaliyokuwa yametanda...
15 Reactions
335 Replies
57K Views
Back
Top Bottom