Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.
Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara...
Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui, labda kusimulia si karama kama wanavyo sema
Ikiwa msimuliaji huingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema
Wasikilizaji naskia wana...
Sina hakika huu wimbo ni wa lini, ila kwa video nimeona kama ni wa kipindi kile cha ajali ya wale watoto wa sekondari Arusha. Pamoja na hayo, hiyo sio mada yenyewe.
Umetokea msiba wa Rais...
Author: Akida S. Rambao
Contact: 0658328596
Email: akidasiri@gmail.com
Naweza sema nilijiona mtu sahihi nisiyekuwa na makosa, lawama nyingi niliziweka kwake. Nilimtuhumu kwa kila tukio...
Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo.
Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji.
Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo...
Eagle Wings Official Trailer
The military-themed movie, a first of its kind in Nigeria, was produced and directed by Paul Apel Papel in partnership with the Nigerian Air Force (NAF) Investments...
SEHEMU YA 01:
Baada ya kuwa ametumia miaka miwili nchini Irak akiripoti vita vya Ghuba kupitia televisheni ya SkyNews na kupokea Tuzo ya Kimataifa ya Boldness Award iliyoambatana na zawadi ya...
Habari zenu wadau wa JF,
Karibuni kwenye Uzi Huu mahsusi katika jukwaa maridhawa la burudani. Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujionea Video bora kuliko zote kwa kuangaliwa na watu duniani, ila pia...
Ngoma ya Drake aliyomshirikisha Kayla na Wizkid. Ngoma iitwayo One Dance imefikisha Streaming Bilion 2 kwenye mtandao wa Spotify.
Unadhani Wizkid anahitaji pongezi kwa hilo?
Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi...
Kwangu mimi huyu ni rapa bora wa muda wote ninamuweka kundi moja na marapa bora kabisa waliowahi kutokea Tanzania. Sijaona kazi yake yoyote ambayo hajaitendea haki.
Huyu jamaa hajawahi kukosea...
Nitajie movie zinazohusiana na Crimes, Sex drama, na comedy. Zote ziwe za black Americans. single movies.
Mfano addicted,get rich or die trying, little man etc
Wakuu habari za asubuhi. Natumaini mmeamka salama salimini.
Kama kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Naomba kwa yoyote yule anayefahamu nyimbo za hip hop zenye mapigo kama ya msanii Eminem...
HOFU
SEHEMU YA KWANZA
PORT ELIZABETH
Ilikuwa tarehe 24 Machi, baada ya mauaji ya
kikatili ya waafrika 19, katika kitongoji cha
Langa, karibu na Vitenhage; mji ulio karibu na
ule mji wa...
RIWAYA: TANZIA
MTUNZI: MAUNDU MWINGIZI
SEHEMU YA KWANZA
Ilikuwa ghafla tu, Pepo kali zilipovuma karibu kila
kona ya wilaya ya Kibondo, mkoani kigoma.
Taratibu mawingu mazito yakalifunika anga...
RIWAYA ;MKAKATI WA KUELEKEA IKULU
MTUNZI: HUSSEIN WAMAYYA
SEHEMU YA KWANZA.
Utangulizi
Wakati Baba wa Taifa anamlea Masurufu Hussein
Masurufu hakuwa anajua kuwa analea mtu ambaye
alikuwa...
RIWAYA; SAHIHI YA KIFO
MTUNZI; ISSA MBAGA
SEHEMU YA KWANZA
Jua lilikuwa likiaga upande wa mashariki na
kwenda kuungana na magharibi ili kukamilisha
siku, huku likisindikizwa na hali ya hewa...
MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA.
Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA.
Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.