Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Naombeni tafsiri ya nyimbo hizi za fally ipupa 1. Ecole 2. Allo telephone
0 Reactions
0 Replies
548 Views
1.Will Smith 2. Samuel Jackson Nk. Ebu taja unaowakubali
2 Reactions
60 Replies
7K Views
MAGUFULI, DAIMA TUTAKUKUMBUKA Kifo hakina rufani, pia hakina huruma, Kimempoka kundini, Rais mwenye heshima, bado ali ujanani, mudawe umesimama, Daima tutakuenzi, Tangulia Magufuli Kifo hakina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia video zao nyingi walizoweka You Tube, hawa vijana wanatisha. Kwenye hii kolabo nammiss Ringo na Maufundi, wangewaongeza hawa mbona tungecheka hadi kuzimia[emoji13][emoji13]
6 Reactions
25 Replies
7K Views
Igweeee! Poleni sana ndugu zangu watanzania wenzangu kwa msiba mzito wa taifa letu. Najaribu kupitia mitandao lkn bado sijapata nyimbo za maombolezo. Tushirikishane tafadhali ht kwa kutaja...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
katika album ambazo zipo underrated basi album ya pili ya Albert Mangwear Nipe ni dili speed 120 Bata kila sehemu kimafia bonnie and clyde tuko juu CNN wakitaa Bila muziki Mapenzi gani inakosaje...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Tanzania songs only Barua- Daz Nundaz Kamandaaaaa-Daz Nundaz Mwanamkiwa - K -sal ft Ferooz Sauti ya Manka- Gk Nitakufaje - GK Maisha ya Bongo - 20% Tunataabika - Mabaga Fresh Mama- Mr Nice Mbona...
9 Reactions
102 Replies
17K Views
Wimbo huu ukipigwa unafanya nimkumbuke baba yangu mzazi enzi hizo tukiwa uwingereza malechela akiwa balozi uk naumia Sana . Naomba mwenye mashairi yake video zipo utube . I shall sing sing my...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo nasikia Eti ndio anaondoka dah jamaa yupo talented sana sijui kipindi kitakuwaje bila ya jamaa.
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Hivi vile beat/instrument za kwenye hadithi zile ambayo hua ni za taratibu YouTube nimejarbu kutafta ila zina kuja za hip hop. Je, niandikeje ili iwe rahisi kuzipata au hua zinaitwaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soma haya mashairi ya nyimbo zinazopigwa kila uchao na watoto wetu wanasikiliza no wonder nimesoma huko Temeke watoto wanabakana sababu mojawapo ni manyimbo haya yasiyo na maadili. Kwaani BASATA...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna siku nilikua kwenye gari la haya ya mkoani, iliwekwa move moja Kali sana nitahadithia hapa kwa alieiona na kuijua jina aniambie nikaitafute dukani, stori ya move inaanza ilikua familia moja...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
10. Iokote /Maua Sama ft Roma Stamina 9. Niite basi/ Joslin Wakali Kwanza 8. Fresh - Fid Q ft Diamond Platnum 7. Si uliniambia /MB dog ft Yakuza 6. Uswazi take away / Chege ft Diamond 5. Mzee...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa wale wanaokifahamu kipindi cha Our Perfect wedding kinachorushwa na Mzanzi Wethu wamekuwa wakitumia beat ya wamerudi ya Belle 9. Ni moja ya vipindi navyovipenda saana....mara kibao nimekuwa...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Ni wakati wa kumwomba Mungu. Ni wakati wa umoja. Tanzania nakupenda.
5 Reactions
11 Replies
5K Views
Aiseee nimesikiliza goma jipya la Mboso Khan linaitwa "Yalaah" nimehitimisha Kwa kusema kuwa Mbosso ni fundi mpya wa mashairi hapa mjini...... Director Hanscana ni legend Kitu kingine...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
STORY: JINI KURUTHUMU EPISODE 1 Ni jumapili angavu ndani ya mji wa Moshi, mji uliosheni kila aina ya pilikapilika na purukushani. Jua lilikuwa likielekea magharibi na kulipisha giza lichukue...
2 Reactions
26 Replies
11K Views
Kwa urembo na uzuri wa mama, wanaume wengi walipenda kuwa nae ili awe mke wao. Lakini kati ya wanaume hao wengi ni baba tu aliyebahatika kumuoa mama. Baba alijitahidi sana kuchakarika ili familia...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
RIWAYA: MERISA - JINI MWITU MTUNZI: ZAYNAB TALY Zaynab Taly ni mwandishi chipukizi ambaye ndotozake ni kuja kuwa mwandishi mkubwa katika nchihii. Wapo waliokwisha msoma kazi zake na wapoambao...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Back
Top Bottom