Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Please download cc ONTARIO
5 Reactions
36 Replies
24K Views
I see me ni mdau mkubwa sana wa Combat series; Hapa niko na; 1.Strike Back (Season 1-8) 2.Brave (Season 1&2) 3.Deep State (Season 1) 4.American Odyssey (Season 1) 5.Seal team (Season 1-3)...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Niamini leo hii sitamani mwingine tena Kazi zangu mishe mishe ntarudi nyumbani mapema Unachonipa baby sitokaa nikuumize eeh Na zile raha unazonipa wewe Napenda unavyokata na kunipa taratibu Mimi...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwenye kujua wimbo wa Sugar daddy uliimbwa na msanii mwana mama wa kikongo tafadhali anijuze jina.
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Wakuu naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha yani zinazoimba kuhusu Haso zitajwe hapa nahitaji kuzipakua. Mafano kama zile za Darasa. Sikati tamaa,Nishike Mkono n.k...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Hapo kwenye kubali kiaina kulikuaga na mzuka kweli., ..;)🤣🤣🤣
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, nahitaji msaada kidogo kwa yeyote ambae anajua application ya movie ambayo unaweza ukapata movie yeyote ama series yeyote ikiwa ina subtitles ndani yake maana ninayo moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Artist: Olivia Rodrigo Title: Drivers License Genre: Pop Label: Geffen Records Year: 2021 I got my driver's license last week Just like we always talked about 'Cause you were so excited for me To...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Katika maisha yangu kwa Bahati nzuri pia nimekulia Katika Familia na mtaa wa HIP HOP Tanzania.Huenda wengi wakashindwa kujua na kudhani Deadbody ni mbana pua.Ni kunivunjia heshima sana kunipeleka...
9 Reactions
36 Replies
27K Views
Artist: Michael Learns To Rock Title: You Took My Heart Away Album: Blue Night Genre: Rock Label: Medley Records Year: 2000 Staring at the moon so blue Turning all my thoughts to you I was...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Artist: Regina Spektor Title: Black And White Album: Remember Us To Life Genre: Rock Label: Sire Records Year: 2016 All my love In black and white On this color photograph Sad sad eyes Know too...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Kwako wewe mwenyewe taja madj wako watatu unaona wako kwenye heat kwa sasa ,uwezo wao mkubwa. Pia, wale ambao ni talented pia na hawana nyota/bahati yaani wapo wapo tu. Na pia wale madj ambao ni...
5 Reactions
240 Replies
24K Views
Mim naangalia sana movie had najihis perhaps my call was to be a movie director or something Ila sasa movie za wenzangu weus.huwa napata shida sana.hazina uhalisia yaan katika acting ..naona...
8 Reactions
82 Replies
11K Views
1. Professa Jay Je, ni kweli ana degree hata moja? 2.Afande Sele Je, amewahi kuwa hata mgambo? 3. Luteni Kalama Cheo kikubwa sana nafikiri polisi au jeshini? 4. Inspector Haroun Je, amewahi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Inasemekana nyimbo nyingi zinazoimbwa hasa kwenye nyumba za ibada zinakuwa na mpangilio maalum ambao mtu yeyote akiufuata anaweza kuimba. Sasa kuna huu wimbo una maneno kama ifuatavyo...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Eve Jihan Jeffers Cooper au wengin tunamjua kama EVE, rapper wa kike kutoka nchini Marekani, Philadelphia huko kwa kina Meek Mill na wengine wengi. Watoto wa 2000's ni ngumu kumjua huyu mwanamama...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Kampuni ya patek phillipe ni kampuni ya saa iliyoundwa miaka ya 1839 kampuni hii iliundwa na manguli wawili wakishirikiana na watu wengine Waanzilishi wa mwanzo Antoine patek alikua ni...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Artist: Lauren Alaina Title: Getting Good Album: Getting Good Genre: Country Label: Mercury Nashville/Interscope/19 Records Year: 2020 Once I fall in love then I'll be happy But then you fall in...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
Back
Top Bottom