Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Tuzo za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles Crlifornia na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo...
1 Reactions
2 Replies
912 Views
Baraza la Sanaa nchini Tanzania (BASATA) limemfungia kwa muda wa miezi sita (6) msanii wa Muziki wa Bongo Flava Gift Stanford Joshua maarufu kama Gigy Money, kwa kile kinachodaiwa kuwa msanii huyo...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Kifupi ni kwamba hili beat nilikuwa nalisikia tangu udogo wangu . Miaka ya tisini mwishoni jirani yetu alikuwa na kaseti iliyokuwa inapiga hili beat kwenye masherehe. Nilijaribu kulitafuta...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwenye kipindi cha joto la asubuhi mmezidisha miziki badala ya kutujuza mambo mbalimbali, masaa ya asubuhi tunategemea kupata habari zilizojiri kama vile PB ya clouds fm. Sasa EFM kipindi cha...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wale wadau wa muziki mnaofatilia ngoma mbalimbali za kibongo, africa na america embu fanya kushare nasi ngoma 10 za 2020. Hizi zifuatazo ni top10 zangu za ngoma kali zilizofanya vizuri 2020...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Please wa JF nimekomaa toka juzi naitafuta sijaipata ila nakua hapa kuna wajanja zaidi yangu watafanya maajabu tuu Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
4 Replies
37K Views
Mazee niaje? Tukiwa tunaufunga huu mwaka wa double 20, unahisi ipi ni nyimbo kali zaidi ya kuisikia ndani ya 2020? Kwangu mimi ni; Nakuja by Mdogo, balaa, ni nyimbo kali zaidi ya kufungia...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Aliyekupa wewe hajanisahau Nina imani hatakama mda bado Kukata tamaa kwangu nishasema mwiko Bado nipo,jana na leo mmmhh🎤🎵🎵 Tunapambana japo nasi tuwe mbali🎼 Na matatizo tumeyageuza morali🎶🎶 Iwe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
COLLABO 10 KALI ALIZOWAHI KUSHIRiKISHWA CHRIS BROWN NA ZIKAWA MOTO HASWA. 1.NICK MINAJ FT CHRIS BROWN__RIGHT BY SIDE 2.RITA ORA FT CHRIS BROWN__BODY ON ME. 3.RICK ROSE FT CHRIS BROWN__SORRY...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu mtoto leo ametekwa na watu waliotumwa na mjomba wake. Anapelekwa kuuzwa biashara ya ngono. Ila kwa upande mwingine anko inaelekea ataumbuka tena baada ya jaribio la kwanza kutaka kumuua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vigezo. 1. Ubora wa kazi zao. 2. Ubora ktk Sanaa ya mapigano 3.Umri. 4.Mkwanja 5. Umaarufu.
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Ujue kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza vizuri mashairi yake unaona kabisa mwimbaji alikuwa anakufatilia hivi/yaani kila kitu kinagusa maisha na matukio yako kadhaa. Mimi wimbo wa Mwana FA ft Jay...
6 Reactions
265 Replies
25K Views
Technology inaenda kwa kasi sanaa.. Naomba niongee kitu kuhusu wapenzi wa movie na Netflix, Nimekuwa mtumiaji wa netfllix almost 2 years now!! Japo sio mtumiaji sana lakini, kwa sababu nina Apps...
5 Reactions
17 Replies
8K Views
Habari za leo wakuu. Bado naendelea kuimba japo sijaanza ku record official kutokana na mazingira kutokuwa rafiki. Lakini malengo yangu nataka kushiriki international talents. Nipeni njia...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, kwa wapenzi wa kuogelea na kubarizi upepo wa ufukwenu karibuni tupeane location zenye kuvutia kwa ajili ya mapumziko hasa hizi Holiday seasons. Tunakaribishwa kushare Swimming...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Kila Mara nisikiapo wimbo huu wa mahadhi ya ki Swedish kutoka kwa Abba huwa nakukumbuka wewe. Umetutoka miaka kadhaa nyuma kipindi Kama hiki. Ulifanya utoto wangu kuwa remarkable. I love U...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Story inaanza belle 9 katendwa na mpenzi wake aliyekuwa anampenda kiasi cha kutamani kufa pamoja nae, Sasa wakati anaugulia maumivu ya kutendwa tena kutendwa kwenyewe katendwa kwa kusalitiwa na...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za Leo wadau, Samaani hivi ile movie tuliyokuwa tukiita MIKASA MENDE jina lake halisi inaitwaje?
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Kam kichwa kinavodai tupia movie ambalo huez kuchoka kuiangalia kwa jinsi akili nying zilivotumika ndani ake...(INTELLIGENCE) Nb; movie yangu ni VANTAGE POINT... hii inahusu njama za kumuua rais...
16 Reactions
127 Replies
19K Views
Bora ya Maboya wataelea kwenye maji ila kwa hizi mtapiga deki nyumbani kwa watangaaa zaajiii Ukisikia sound nzuri ujue ni mgeni sio wahapahapa,Mademu mnawapitia makwao hamuwangojei cd za show...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom