Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nautafuta sana wimbo wa Safari was Pauline zongo bila ya mafanikio kwa mwenye nao anitumie hapa au via WhatsApp 0714155059.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mambo vipi wana wamungu. Kuna hii program ya Hi-fi kwenye Sabufa au kwenye Smartphone naomba munielekeze jinsi ya kuitumia maana zipozipo tu kama chama cha Ccm.
0 Reactions
3 Replies
666 Views
kama wewe ni mfuatiliaji wa minanda au mchiriku utakuwa unawajua magwiji kama Mpogo, Jangwa, 7 Surviver na wengine kibao naomba tupeane ladha kupitia uzi huu kwa kuweka minanda nami nitajitahidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mm n mgeni kutoka kenya mombasa hpa nimekuja kufurahia hadithi tamtam na za kusisimua
1 Reactions
3 Replies
830 Views
Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Kesho nina matumaini makubwa sana na timu yangu ya Taifa, kocha panga watu wazuri wa kutupa ushindi usiangalie eti kwa kuwa anacheza nje ya nchi basi yuko vizuri!
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Ni ngoma ilitoka kwny mwanzo wa miaka ya 2000s lkn hadi leo ukiisikiliza bado ubora wake uko pale pale.....hapa nature aliumiza kichwa sijui nani alimtungia huu wimbo. Alafu kwa wakazi wa dar hiyo...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
[https://globalpublishers]Naitwa Esma Mabruki, lakini watu wangu wa karibu walinikatisha na kuniita Esy. Mpaka leo Esy ndilo limekuwa maarufu. Ni mzaliwa wa Dar es Salaam. Nilizaliwa katika...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
“Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimesema fungua! Fungua kwa hiyari yako!” “Huyo ni nani?” “Shiii! Rudi ndani kalale!” “What is going on...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
SEHEMU YA 01 -Erick Shigongo “Mume wangu! Naomba unisamehe!” “Nikusamehe! Mara ngapi? Nahisi hunijui! Sasa subiri.” “Mume wangu naomba unisamehe! Sitorudia tena!” “Eti hutorudia! Unanifanya mimi...
15 Reactions
1K Replies
145K Views
Naomba ambaye aliweza kutunza zile Mixed CD/TAPES za JDs Bongo Explosion za DJ JD (John Dillinga Matlou) za miaka ya 2000 akiwa anafanya project hiyo ya Bongo Explosion anisaidie niweze kuzipata...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nicki Minaj's "Queen" Eligible For Platinum Status In The US: Report - Akelicious
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Leo nimepita katika ukurasa wa best DJ in town Mafuvu beiby na kukuta makavu yake live kwa baadhi ya dj wa clouds media wakiwemo DJ d ommy, DJ sinyorita, Dj Zero etc.. Kisa Vibe kama Lootee au...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kwa wale wapenzi wa WWE kupitia channel pendwa ya etv kuanzia Sept 1 hakutakua na vile vipindi vya mieleka kupitia channel yao ya e kutoka sauz. Hii ni kutokana na mkataba kati ya kituo na...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Manung'ayembe
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kati ya hawa watu, nani zaidi? 1. Kasimu Mponda 2. Abel Bartazar 3. Said Mabera 4. Bartholomeyo Mulenga... Na je huyo unayemkubali wewe ni kazi yake ipi ilipelekea umvulie kofia? cc...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna jambo silielewi kuhusu series ya Sultan Suleiman Khan inayorushwa na Channel ya Azam Two. Mke wa Sultan aitwaye Hurem anafanya hila na maovu mengi lakini ndio kwanza anafanikiwa mpaka kuwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Audio: Sister fey Ft. Holystar – Wasinichapie - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
943 Views
==> Eti ni neno gani huwa unalitamka mara nyingi zaidi kwa siku? Tunaanza na Mimi YANI
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukiangalia hio video hapo juu,, mstari to mstari utaona kama kipindi hiki alikua ana ugomvi na kundi flan === Could You Be Loved Bob Marley and the Wailers Could you be loved and be loved? Could...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom