Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari zenu Hii inawahusu moja kwa mija wale wanaopenda kujichubua jaman wakati mwingine hadi kero sasa unakuta mtu kajichubua uso katoa ngozi yake nzuri ya kiafrika na baada ya kujichubua anapaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nimeiskiliza hii nyimbo ni balaa yani ni bonge la idea full kung'ata na kupulizaaa yani wameimba kama PANYA.:cool::D Wimbo wa taifa anaekubali agonge like
28 Reactions
69 Replies
16K Views
Habari zenu wakuu.... Kama inavyosomeka hapo juu...... Kuna movie/series ya kijapani kwa jina Terraformars......kwa yeyote mwenye kuwa na link ya kuidownload anisaidie tafadhari...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Sote tuimbe, "Naliamsha dudeeeeeeee yoyooooooo Naliamsha dudeeeeee yoyoooooo Naliamsha dudeeeee yoyooooooo" Niaje,niaje,niaje, niaje,niaje,niaje Woooooooooooooozer Ni shida tupu Habar za...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Yeah Kuna tabia ya kipuuzi sana humu jf kwa members fulani Mtu analeta simulizi halafu hamalizii huyo anatakiwa apigwe ban mnajaribu watu wazima???? Mwingine anaanzisha uzi wa simuliz...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nani walipiga wimbo huu na ni lini? Nimeusikia kwa miaka mingi na hauchuji.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
SAPOTI FILAMU ZA ZETU SUBSCRIBE KWENYE LINK HII: Swahili Universe - Latest Bongo Movies uangalie Zaidi ya filamu 200 za bongo Hii ni channel yako namba 1 kukuletea visa na mikasa mbalimbali...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Dah kweli usukumwani raha nyie munaonaje? Wakuu
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Kama kuingiza hela jamaa wamefanikiwa tena sana, kwa hako ka mtindo ka kulipia 1000 azam tv kwa jinsi movie ilivokuwa hot naiman jana na leo si chini ya milion 100 wameingiza. Back to mada...
9 Reactions
51 Replies
7K Views
"BURY ME ALIVE" Is such a beautiful movie with an amazing story-line, I don't think you'll want to miss this one. Click on the following link https://www.youtube.com/watch?v=xdDbUib-Kps … to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nilikuwa nafatilia kwa mbali 40 ya mtoto wa zamaradi mketema,kikubwa kilicho Nishangaza ni menwja mkuu wa diamond platinumz Babu tale kutangaza eti atawatolea viza kwenda South Africa,kwenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
🎵🎤🎼🎶🎵🎤🎼🎶🎼🎶🎼 👤 for Roma na 🙊 for Stamina 👤Karibu mzee kingunge kwenye makazi ya milele Mimi huku ninamji wangu tayari unaitwa nyerere ,nimeshtuka kukuona huku nini chanzo cha msiba..h, 🙊...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Salaam wakuu, leo tu share pamoja nyimbo kali kutoka kenye playlist yako. Mimi nyimbo yangu best of the best ni ya MIGOS FT. GUCCI MANE - SLIPPERY usisahau kuweka jina la nyimbo na link ya...
4 Reactions
85 Replies
11K Views
*_Mahusiano mengine hutokea mbali sana hasa Wale mlioenda field mkaacha namba zenu_* Mfano Mwalimu na mwanafunzi *Mwezi January* Joyce : Shikamo Mwalimu Mwalimu :Marahaba hujambo Joyce...
1 Reactions
6 Replies
947 Views
Bibi mmoja alienda bank kuchukua pesa zilizokuwemo kwenye account yake, akaandika cheque na kumpa mhudumu wa benk (teller), huku akisema nataka kutoa Tshs 150,000/=" Yule mhudumu (Binti)...
1 Reactions
2 Replies
788 Views
Naomba kuwambia Basata,BMT,Wizara ya Habari Michezo na tamaduni kuwawajibisha waandaaji wa shindano la Miss Lake zone kwa utapeli angalia gari wanalompa mshindi ni gari Kuu kuuu sana wamelipaka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nilishawahi kuleta uzi humu kama miaka mitatu iliyopita kuhusu stand up comedy shows hapa bongo, natambua wapo wachekeshaji tayari ila bado hii industry iko under utilised sababu ya ukosefu...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Wadau tangu jana nimejikuta nakumbuka sana Walt Disney. Kilichonikumbusha zaidi ni zile nyimbo za mle ndani, hivyo nilivyoamka tu nikaanza kuzisikiliza. Roho yangu imefurahi sana nikakumbuka utoto...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
kuna wimbo wa Diamond platnum unaitwa CHEKA KIDOGO MASHAIRI YAKE "Mwenzako cheka kidogo tabasamu nionyeshe meno kidogo" siukumbuki vizuri lakini ni baadhi ya mashairi yake naomba unitumie kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom