Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mambo vipi wadau, mi npo mitaa ya sombetini napenda kujua hapa mjini arusha ni wapi wanacheza karate hasa goju ryu? Mwenye kujua anipe msaada please
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Mrembo kutoka Kenya anayekwenda kwa jina la Vera Sidika, aliyekuwepo kwenye Beach Party ya WCB, ametumia Snapchat kuonyesha kushangazwa kwake na kilichotokea kwa mashabiki kwenye upande wa mavazi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Mimi wangu ni huu aliowashirikisha p square asee unaitwa kidogo kafanya poa Sana wewe je ni nyimbo Gani unaikubali Sana.. Moja tu
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Nyimbo nyingi sana zimekuja na zimepita lakini hii ngoma kila inapopigwa au kutumbuizwa na msanii husika basi hugusa hisia za wengi!Mimi binafsi sijaweza kuizoea,kila inapopigwa najikuta tu...
2 Reactions
63 Replies
16K Views
Kwa mujibu wa wanasiasa sita waliohojiwa na millard Ayo AUDIO: Wanasiasa 6 wa Tanzania wataja nyimbo zao bora za bongofleva kwa mwaka 2016 - millardayo.com hizi ndiyo nyimbo bora kwa mwaka huu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
0 Reactions
4 Replies
851 Views
Nimekuwa nikisikiliza kwa muda wimbo wa Say my name wa Shishi baby lakini sikuwa nikielewa kile kipande anachoimba Barnaba anaimba vitu gani,Leo nimefanikiwa kupata lyrics na bado nimeendelea...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Mimi bila kulala sijaangalia hii music video ya kanyewest siwezi kupata usingizi. Naona kama vile nimekuwa addicted na kumuangalia huyu video model wa hii nyimbo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hizi ni bendi mbili tofauti zinazopiga muziki wa dansi hapa nchini, ambazo kwa kiasi kikubwa zimejizolea umaarufu kutokana na umahiri wa tungo zao kiasi cha kuwapa wakati mgumu mashabiki...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
MTUNZI: ERICK NZIKU SEHEMU YA KWANZA BINTI WA RAISI Naitwa James david Massawe ni mzaliwa wa Same, Kilimanjaro, naishi na wazazi wangu wote wawili na nna wadogo wawili john na jenny. Maisha...
3 Reactions
19 Replies
25K Views
Refer this Masanja adai anampenda Monica mpaka wanawake wengine anawaona ni wavulana Dada zetu watakoma mwaka huu
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Katika ACTION MOVIES this is favourite wakuu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nimepita kwenye mtandao DW Swahili nikakutana na makala ya kusisimua sana inayohusu taarabu asilia kutoka visiwani Zanzibar.. Napenda sana muziki wa taarabu asilia.. Sielewi kwanini huku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jipatie huduma bure ya kuweka na kuhifadhi nota za nyimbo au mziki wako kidijitali. Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe kwenda digitalised@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali, usitake kufahamu ni SLAA yupi. Ukimuangalia tu, utafahamu ni yupi :) .... Cheers!!!!! Nakutakieni Jumanne njema.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibu kuutazama msimu mpya wa serious funny kupitia www.youtube.com/c/SeriousFunnyTz upate burudani bila kikomo...Usisahau kuSUBSCRIBE ili uwe wa kwanza kupata kila clip mpya inayotoka. Asante...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
105.7 ndio frequency zake Kwa wale Wasikilazaji WA masafa ya fm. Majamaa wako vizuri Kwa upande WA burudani ni USIPIME mziki mkali kuanza asubuhi mpaka kesho Yake . Siwapigii promo Ila kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyimbo ya darasa ya mziki imekua gumzo kias cha kupendwa had na wanaaiasa wa ngazi za juu. Imethibitiswa baada ya kiongoz wa ngaz wa juu wa chama tawala kukutwa akisklza na kuicheza nyimbo hiyo
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Hawa jamaa ni funga kazi kwa kuchekesha na kuelimisha. Leo wamenichekesha sana, Mkwere original ameigiza anapigwa na mke wake ambaye ni mtoto wa mzee matata, Huku mkwere akiwa ni mtoto wa yule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom