Kipindi nilipokuwa mdogo miaka ya 90 na something, baba yangu mdogo alinichukua nikaanze shule ya msingi mkoani Iringa. Ilikuwa vijijini ambapo yeye aliku mratibu wa elimu kata.
Katika kijiji...
Namani mziki wetu uendee mbele zaidi lakini tuwe na identity tofauti tofauti,
Sisi tunawajua lakini huko mnakokumbilia hamjulikani
Sasa badala ya kujitambulisha identity yako ujulikane nyie...
habari wanajamvi!
napenda kutoa shukrani kwa watu wote wanaosapotimziki kwa kiasi kikubwa pia wakiwemo wasanii wakubwa akina AY.DIAMOND.ALLY KIBA e.t.c.
kwaweli wasanii wamebadilika sana kwanza...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, diamond domo ndio celebrity maarufu kuliko wote jf, unaweza kuhisi ni jukwaa la kumuongelea diamond, kila siku lazma iwepo post ya kumuongelea, lazma...
Kama walivyoahidi ifikapo mwezi wa 10 watakuja na Television yao pendwa ambayo tayari imekwishaanza kurushwa hewani kupitia ving'amuzi mbali mbali inajulikana kwa jina la TV-E so tutegemee...
After my almost religious moment of seeing Rogue one the other day, it got me thinking of all the films I am gutted I missed or could not get to a cinema for or just wasn't alive. sonnerie films...
Kwa muono wangu hii ndiyo collaboration bora ambayo diamond ameifanya so far mpaka hivi sasa, Hakuna cha psquare, Uhuru wala Davido wote tupa kule. Sikuwahi kumkubali huyu jamaa, Ila kwa hii...
Huwa napenda nyimbo za kidosi zina melodies nzuri karibuni tujuzane nyimbo nzuri mpya na za zamani
Mimi naanza na hizi..
1- tere sang yaara
2- Sabu tera
Dil chura le
Sub teraa
Habari wana Jukwaa,
Kuna wimbo ameutoa mwana FA unaitwa Dume suluari,sitozungumzia kiundani huo wimbo ila kuna mstari mmoja ametamka Vanessa mdee "Baki na Hamu Zako".
Kiukweli hilo neno halifahi...
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2016 ni zipi nyimbo 5 bora zilitolewa mwaka huu?
Kwangu mimi
1.Aje by Alikiba
2.Moyo mashine by Ben pol
3.Muziki by Darasa
4.Kidogo by Diamond
5.Kamatia by Navy kenzo
Naomba tuangalie mtu gani ambaye alitawala katika vichwa vya habari tanzania kutokana na kazi yake,skendo n.k.
chagua kati ya hawa chini:
1 diamond platnum
2 allykiba
3 darassa
4 ben pol
5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.