Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Licha ya maneno mengi YA watanzania na mashabiki Uchwara wakimponda Mrembo wetu miss Tanzania 2016 Diana Edward kimsingi mimi #kijanamzalendo ni Miongoni mwa watu ambao ninamkubali na kumpenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hawa wanaojiita madirector waliotukuka wanaofuatwa bondeni kweli kabisa wamekosa ubunifu?? Angalia copy and paste hapa Alianza Harmonize na Bado yake akacopy kila kitu kutoka Stupid Love wa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Isikilizen na nyie
7 Reactions
273 Replies
25K Views
Niliposikiliza huu wimbo wa Usisahau wa Timbulo nikajua Kassim Mganga katoa Remix ya Haiwezekani, yaani Timbulo, Baraka na producer wao wote wamepita mulemule
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ebwana Dah Hii ngoma ya Rich mavoko feat Diamond Kokoro nimeilewa. Maoni yangu jamaa anajua aisee.
10 Reactions
310 Replies
50K Views
Jamani Clouds Fm mnaboa sana. Huu mziki wa singeli sijafaham mnaupendea nini? Maana hauburudishi wala kuelimisha. Yaani ni kelele tu hadi napata ukakasi nakubadili stesheni redio. Wakuu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
kuna wimbo huu ameimba Mchungaji Faustin Munishi nimejaribu kuutafuta mtandaoni nimeukosa ila maneno yake yako hivi... "mokozi iiii Yesu...Kazi nimemaliza aaah... nitume tena niende na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
http://burhoneymponda.com/2016/11/download-audio-ditto-moyo-wa-subira/
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mimi ni mpenz wa series za kikorea niambieni nzurinzuri kama Giant hivi ama east of eden ama scandal nataka za sampuli hii za.kifalmefalme sipend sana.napenda za visasi na mkono kidogo...
0 Reactions
23 Replies
21K Views
Msanii RICH MAVOKO ambaye yuko chini ya lebo ya WCB aachia kibao kipya alichomshirikisha DIAMOND kinachoenda kwa jina la KOKORO...Ila katika kupromote kazi hiyo diamond aandika maneno yenye utata...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
BASATA: Baraza la Sanaa Tanzania limesema linaihakiki video ya wimbo mpya wa Rich Mavoko, Kokoro ili kuona kama wanawake wamedhalilishwa. Basata wameandika kwenye ukurasa wao wa twitter===>Baraza...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
zamani nilikuwa naona mziki unaotumia vyombo hivi wanasikiliza watu fulani pretentious, sikujua unaweza kunivutia hivi. hii ni hiphop.
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kituo kikubwa cha MTv base Africa leo limetoa wana hiphop 10 bora wa Tanzania waliofanya vizuri 2016. 1. Fid Q 2. Joh Makini 3. AY 4. MwanaFA 5. Roma 6. Mr. Blue 7. Nikki wa pili 8. G...
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Mambo anayo yafanya diamond n kama mtu na degree zake.. Cz anajua kutumia udhaifu wa washndani wake ana jifunza kwa wapinzan wake bt haigii... OUR ICON [emoji109] [emoji109] [emoji109]
0 Reactions
6 Replies
724 Views
Kutoka WCB ni Diamond Platnumz akimshirikishwa Vyema Msafi Rich Mavoko katika wimbo Unaoitwa Kokoro, wimbo Huu upo HAPA.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
habarini wadau, kwa wale wafuatuliaji wa vipindi ktk channel hiyo ningependa mnijuze vipindi vya mieleka (wrestling) huwa vinaoneshwa siku gani na masaa gani. Karibuni.
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Kwa Ubora wa Sauti, ni waimbaji Wawili tu wanaokidhi viwango hapa Bongo/Tanzania, nao ni Alikiba na Christian Bella. Changia.
3 Reactions
1 Replies
884 Views
Back
Top Bottom