raggae ni tofauti na miziki mingine ni mziki ambao hauchuji hata kidogo hasa ukiwasikiliza lucky dube .Dube alikuwa mtaalamu sana wa kinanda sikiliza wimbo .Back to my root vinanda humo...
kuna wimbo kashilikishwa Ali kiba sijui umeimbwa na nani,sijui jina la wimbo ila unapoanza jamaa anasema'anataka aonekane kwenye gazeti auze sura' msaada plz
Nafsi ya mtu ni jumba,jba la giza totoro,
Tena lenye vingi vyumba,usiyojua zoke kasoro,
Waweza kuhisi cha simba, kumbe chumba cha kongoro,
Nafsi inabeba mengi, ni siri ya mwenye nayo.
Machoni...
Nyimbo inaitwa 'how long''....daaah jamaa karudi vizuriiiiii sanaaaa...big up kwake maaana tulimis fleva zake mda mrefu sanaaaa....kama kawa Sony music wamesimamia mpango mzima mpaka Davido kapata...
kwa wale wapenzi wa Tv shows {series} za wamarekani...mara ngapi umekuta wakitumia kiswahili japo sentence mbili tatu ivi...daaaaa huwa nasikia raha sana nikikutana na hihi hali...for...
Riwaya: FORGIVENESS OF MAMA!
Mwandishi: SEID BIN SALIM
SEHEMU YA 06
bora nikose kibarua kwa ajili yako madam, naomba unisubiri hapo nje niende nimwambie nimeacha kazi ili japo tuongozane nipajue...
Ikiwa na muda mfupi tu chini siku 10 tu hakuna mtu mwenye hamu na Salome,kelele zote kwisha humu.Kabla haijatoka Salome mlikuja na fujo nyingi sana kuwa ile nyimbo na p square kidogo ikifikisha...
Nikiwa kwenye gari niliona video ya wimbo wa hip hop ulionivutia sana. Sijui jina la wimbo wala msanii ila CHORUS yake ametumia wimbo wa PAPA WEMBA na DIAMOND! Msaada kwa anaeujua vizuri ili...
[emoji95][emoji95]New New New
Video ya "KIJITI CHA MASELA" by GALLA BWAY @galla_bway ft @chippiippii x Gano produced by @t3 . its now out.....directed by @luiArts via YouTube
@tornado_vibez...
Kunawakati mechi hasa za mpira wa miguu huruzhwa live kupitia jamii forum,hii huwasaidia wenzangu na mimi ambao tunategemea sna sim tanashati.
Kitu kinachonipa utata ni mechi nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.