Nashindwa kuelewa kwani kila niamkapo, ninapotembea, ninapokuwa nimepumzika tu na hata kabla sijalala usiku lazima niusikilize huu Wimbo wa Perfect Combo wa Joh Makini akimshirikisha Mwanadada wa...
Season 2 imepoa sana. Haina mvuto haina story yenye mashiko. Yaani inaruka ruka tu imelala haina pumzi,imejichokea,inapumua kwa shida sana hii series.sijui kama itaendelea tena... Ikiwa...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kawaida ya wanamuziki wa bongo fleva kwenda Afrika kusini kwa ajili ya kutengeneza video za nyimbo zao ikiwa ni mara chache sana kutengeneza hapa nyumbani...
Leo ni miaka mitano tokea mfalme wa pop afariki dunia....unamkumbuka kwa yapi....
1.Mwanamuziki wa kwanza mweusi kuingia ikulu ya marekani
2.Mgonjwa wa vitiligo maarufu zaidi(ugonjwa wa ngozi...
Baada ya kuoneka mziki huu wa singeli kuja kasi na jamii kuupokea vizuri bado naziona changamoto. Kinachonifanya nianzishe uzi huu ni kutokana na kuwaona wanaume wamevaa madela huku wakikata...
Huu wimbo hauna tatizo kama haujaoa na uko peke yako tu unausikiliza ila hausikiliziki kwenye watu mnaoheshimiana. Unahamasisha au unaonesha kuwa kumtafuna shemeji haina tatizo.
BASATA wapo tu.
!
!
Upumbavu mtupu... Mi play back ya kijinga mno. Nipo nawaangalia hapa clouds tv ni ujinga mtupu yani. Ngojea nikanunue kiroba kingine.
!
!
Tukiachana na Bill Nass... Huyu Da Prince ndio...
Wimbo wa shaa uendae kwa jina la sugua GAGA mpaka leo tarehe 21/8/2016 umeangaliwa duniani na watu wengi kuliko wimbo wowote wa kiswahili
mpaka sasa umeangaliwa na watu 21,220,644
HII NI REKODI...
Habari wakuu,
Ile movie yetu kali tulioisubiri kwa muda mrefu imetoka. Mwenye link ya kuidownload au site anisaidie.Nimeitafuta hadi torrents lakini wapi.Au ndo mpaka cinema only.
kipicha chenyewe kimoja wanashirikiana kukituma hicho hicho kuonyesha kuwa ilifana kumbe ilikuwa ni total failure...
Hiyo picha imekuwa doctored(photoshopped) ili kuudanganya umma...
1.Yote maisha - madee ft pfunk. Hii ngoma uwa nikiisikiliza ina nitouch sana. Inanikumbusha 2007 ambapo Pfunk alikuwa on the peak before hajashuka na madee akiwa madee kweli. Meseji na beat vyote...
Pro Era (which is short for Progressive Era) is an American Hip Hop collective from Brooklyn, New York City. The collective includes, among others, rappers Capital STEEZ (deceased), Joey Bada$$...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.