Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimekua nikijiuliza kati ya wasanii wa bongomovie yupi ambae yupo serious na kazi yake na anaweza kuiwakilisha Tanzania nje ya mipaka ya bongo hata akafuata nyayo za Kanumba!! In short nani...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Ndan ya clouds FM ,, G Habash captain tenaa ndani ya jahazi
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wanajamvi, Salaam! Napenda kuchukua nafasi hii kutoa ushauri kwa huyu Dada mwanamziki, na kwa wale wote wanaopenda au kutamani kuwa na maisha kama yake. Ndugu zangu, mara nyingi...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Ninapoongelea UB40 hapana shaka kwa wewe mpenzi wa burudani ya Muziki utakua unajua anwaongelea wakina nani. Kwa namna moja ama nyingine utakua umekwisha kusikia kibao kama vile “Red Red Wine, I...
3 Reactions
41 Replies
11K Views
1.bongo record-pfunk 2.mj-marco chalk 3.ban record-Sheddy clever 4.kili record-Rash don 5.Tongwe record-J raider 6.Free nation-T touch 7.Tuddy Thomas 8.Wasafi record 9.Kwanza record 10.The...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Nimekuwa nikiitafuta kwa mda mrefu sana nyimbo ya Vibration Sound ikiitwa mwewe bila mafanikio, naamini hapa wana jamvi mwaweza nisaidia naomba msaada wenu wakuu.....naipenda sana iyo nyimbo...asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Tasnia ya muziki je, unawakumbuka hawa na nafasi walizokuwa wana-play???? 1. LOKASA YA MBONGO 2. NGOUMA LOKITO 3.DALLY KIMOKO 3. BILEKU MPASI 4. DIBLO DIBALA 5. MOBILO 6. KANDA...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hii tamthilia ni nzuri aisee, hivi Kwa nini Filipino wanajua sana kutengeneza tamthilia, Wanawaigizaji wazuri,story nzuri,color usisema,pamoja NA mtiririko wa visa NA matukio.Wabongo tungekuwa...
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Gwiji wa muziki wa Reggae Robert Nesta Marley ' Bob Marley ' anakumbukwa kwa vibao vyake kemkem hasa vya harakati za ukombozi wa mtu mweusi. Alifariki mwaka 1981 lakini ni kama amefariki jana au...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Artist: ADELE Album: 25 Gener: POP Year Released: 2015 Language: ENGLISH Tracks 01 : Hello 02 : Send My Love 03 : I Miss You 04 : When We Where Young 05 : Remedy 06 : Water Under the...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Zifuatazo ni nyimbo mbovu zinazopewa airtime kubwa ili zionekane nzuri.. Sophia_ben pol zigo_Ay Safari_ Nikki wa pili Salima_Linex ft.diamond chekecha_ Ali kiba Mapenzi pesa au kupeti...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Wakuu huyu jamaa kwa East Africa upande wa komedi yuko talented sana,binafsi namkubali mno najaribu ku-share baadhi ya commedy zake hapa, walio na nyingine pia wanaweza kushare.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wale wapenzi wa dancing na wapenzi wa burudani kwa ujumla. Mimi binafsi sio dancer mkali, ila NAJITAJIDI sana kudance. Napenda kucheza muziki. Kila naposikia muziki unaochezeka na...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Wadau mnaiongeleaje issue ya msanii kudis wimbo au mistari ya mwenzake ili yeye atoke???.... Mfano chege ana wimbo unaoitwa mwanayumba... akimaanisha anamtafuta mwanayumba.... lakini kuna msanii...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
MSIKIE BABA DIAMOND AKIFUNGUKA NA WAANDISHI WETU, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Wakati mwanaye staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’, mzazi...
1 Reactions
141 Replies
29K Views
Kiukweli kwa sasa ni bonge la video sioni wakumbana nao hawa jamaa waendelee kuwa wabunifu beat nzuri na kali kifupi wamejitahidi sna madansa nao wako vizur sna haichoshi kuingalia ni video bora...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Nyota wa filamu za Bollywood Amitabh Bachchan na Kangana Ranaut wameshinda mataji makuu katika tuzo za kitaifa za filamu nchini India. Bachchan alishinda tuzo ya muigizaji bora kwa jukumu lake...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wema Sepetu ni bingwa wa kutumia gharama kubwa kufanya filamu na kutengeneza kiu kubwa kwa mashabiki wake halafu then mradi unageuka kuwa kama album ya Detox ya Dr Dre, ambayo haijawahi kutoka...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jaman wale wapenz wa muv za kutisha za kinigeria naomba tukumbushane kidogo..mm nilizipenda zaid KARISHIKA,LAST BURIAL,BILLIONARES CLUB,MARRIED TO A WITCH,HIGHWAY TO THE GRAVE,END OF THE WICKED,40...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Back
Top Bottom