Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kuna nyimbo ya zilipendwa ya zamani kidogo naitafuta sana nadhani inaitwa tabu ila sina uhakika na jina aliyeimba simjui ila inaimbwa ivi. . . ." ni wewe kipenzi nikupendae, kwa jina unaitwa tabu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tika ngai na vanda na ngai tika ngai na benda nzoto obandi kopanza na basango bipayi biso likambo o ngai na nani eh Let me be on my own let me break the relationship before you start spreading...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Utabeba vibovu kuyakimbilia mapenzi. Usijeitaka ndoa kwa pupa...usikimbilie mume utaukondesha moyo. Naupenda sana huu wimbo. Melody, beats na mtiririko wa mashairi. Ni Kassim Mganga...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimejaribu kuitafuta torent sijaipata hii movie Wakuu mwenye link ya hii movie ya Mei Gibson anisaidie Shukrani in advance
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Kwa wale wapenzi wa Music especially wa Congo nipe vote yako kati ya hao wadau wawili
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Mwimbaji mahiri katika band inayoongozwa na Ferre Gola Chikito hicho kipaji na hasa sauti anavyoipangilia tena bila kuchoka je amesomea shule ama kazaliwa nacho? Anavyonichanganya ni namna...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nahisi kati ya nyimbo zote zilizokua relized mwisho wa mwaka huu Justine kajitahidi sana kurudi vizuri kwa "Purpose" Nlikua na mashaka kwamba ujio wake mpya unaweza kubuma lakini zote zimekua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hebu mchek huyu jamaa eti.. Bora nikose pesa maLi/ Jumba gari, niwe na wee/ Nifanye kazi bila saLary/ Yote heri niwe nawee/ yani hapo mnalala nje na hamli..Obvious no survivaL, no Love...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
wanajamiiiii msaada tutani.....kwa anayeijua nymbo mpya ya alice saseni aniambie,, naiskiaga tu ikipigwa clouds ila sijaijua inaitwaje nataka download...plzzz!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona musik huu umedorora sana hapa nchini umepatwa na nini jamani mbona huku kitaa hatusikii tatizo nini?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama mjuavyo hasa kwa wakazi was dar! Jana huyu kijana kadondosha show ya maana kabisa kuwahi kutokea,.... ningekuwa nimemaliza kula nyama ningeomba kijiti cha kujichokonolea. Jamaa yupo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nnaplan ya kwenda swimming sehemu nzuriiiii kama ramada au ledger plaza au double tree sitaki coco nilizozoea nikabarizi na mdada flani hivi ila sitaki nifike pale nitoe macho kiingilio, kwani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona mabadiliko yanaingia katika filamu za kibongo. Azam Naona hapa kupitia Chanel Yao 103 wanaonyesha premier ya Homecoming. Haya Ni mabadiko...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Bonge ya ngoma by legendary mwana fa,,mwenye nayo tafadhali aiweke link hapa wadau mana nimeitafuta net nmeikosa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wasalaam wakuu, heri kwenu nyote, mm ni mdau wa muzik, ila ndo walee wa "shabik anaban nyimbo, na show anaingia free" hahaha, wakuu nimekuja jamvini mnisaidie kuna wimbo ameimba JOSE MTAMBO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nice one from the homeboy. Safe to say Joh is second to no one in Bongo, when it comes to word-plays. Tight deliverance, tight beat, tight hook, tight verses, tight video, tight everything. 9/10.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu,wapi kuna Live Band Leo Arusha Mjini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu mdada kiukweli amekuwa conflict ndani na nje ya taarab kwa twabia yake mbaya ya kuimba rumba na kudai ni taarab
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom