Wadau nadhani huu utakuwa mpambano mkali wa kali wa bongo fleva wanaofanya vizuri kibongobongo. Je, ni nani mkali kwako kati ya Aly Kiba na Ney wa Mitego? Karibu..
Kimewaka SOUTH AFRICA baada ya jamaa kuficha madawa na kudai yamepotea. Wazee wakazi wakafanya yao.Tevez mume wa Fatma mchina au aliyekua mume wa Isha Mashauzi.
Ndio hivyo tena wadau washakata...
Nazungumzia wasanii wakali wote wa dancehall,reggae album zao zipo hapa
kuna majina yao yamepangwa kwa alphabet afu ndani ya kila jina kuna album zake>>>>utakutana na list kama hii
[DIR]...
Huyu jamaa anae watungia nyimbo hawa watoto atakua anamatatizo sana kama sio msela, maana nyimbo za hao madogo zimajaa mazingira ya matusi tusi na wala haziko sawa zile.
Pia nikiangalia umri wa...
Mshindi wa Super Diva Serengeti fiesta 2014 pia anatamba na single ya ""Na Yule "" .
Kipindi cha mwanzo nilihisi kama Clouds Media Group wanambeba hivi ila baada ya kumuona kwenye party...
Nimepata idea ya kuandika mistari na baadae kama ikiwezekana turekodi ngoma yetu inayozungumzia JamiiForums. Hapa nataka bars kadhaa kutoka kwa members tutengeneze kitu cha maana.
Hivi hawa kina Mzee Yusufu, khadija Kopa n.k hawaoni Kama video zao hazina quality hata kidogo, hlf Ukiangalia tuna directors wakali sana, AJ, Nisher, Khalfani, Hansscana, Pablo n.k , mashabiki...
Lile kundi la mziki lilovuma miaka ya 90 na mwamzoni mwa miaka ya 2000 ECT lipo mbioni kurudi upya. Kundi hilo lililoundwa na wasanii kama King Crazy GK,AY, Mwana FA na wengineo lipo katika hatua...
Binafsi sipendezwi kabisa na huu upuuzi unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram na facebook
Ni nani aniyezifadhiri hizi timu?
mnafanya kazi kwa manufaa ya nani?
Hivi...
Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokan na hiki ambacho blogger maarufu Jestina George mtanzania aneishi...
Tafadhalia naomba ambaye anaweza kunisaidia kupata hii tamthilia kwa lugha ya kkingereza , coz nimedownload baadhi ya episode but nikakuta ziko kwa llugha ya kifilipino. PLZ.
Wasanii wetu wa bongo movie wamekua na majina makubwa huku wengi wao wakiwa na hali mbaya kiuchumi.Wengi wamekua wakiitupia lawama kampuni ya muhindi ya Steps kuwa ndio inayowanyonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.